Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

Huyu mama naona wajanja washa mu win tayal yaan wanamchonganisha na wananchi pole pole atakuja shituka Mambo yashaharibika ,hasa kwenye mafuta na miamala ya kifedha hapa mama apaangalie sana Tena kwa jicho la kinabii ,Kuna wahuni wameanza kuchanga karata zao kwa akili kubwa sana .

Leo hii mtaani wameanza kumkumbuka dikteta magufuri ,mama kuwa makini sana Tena sana washaur wako ndio wako mchezoni haswaa
 
Kwahiyo mkuu unamaanisha tumepigwa au!

Ila sema Magu alikuwa na Mapungufu yake lakini moto wake haukuwa wa kawaida..nakumbuka anamfokea Thonthony yule Mcanada wa Baric duh!

Mzee alikuwa naye anajua masuala mbalimbali ya kitaalam! Sasa Mama yeye kakalia mipasho na kuinua mabega, yaani kufikia 2025 aisee atakuwa yuko hoi wallah tena!

Na watu wa bara ni hatari, si washamgundua kuwa amekalia kutoa mikeka ya wateuliwa, wao wanamtia kwenye tanuli la moto wa mkaa wa mawe...yaani akija kugeuka atakutana na maskendo balaa..

Wazanzibar kama wao wana maadili vile ukiwaangalia kwa ndani, sasa watu wa bara hawana habari na mtu wao kupiga tu; shauri yake..
Yeah bi mkubwa ni kondoo ila amezungukwa na kundi la simba! Wabara wanawaza upigaji hawana ethics kazini wao wako ili kujijenga kimaisha by any means watajirike 😅😅😅
 
Huyu mama naona wajanja washa mu win tayal yaan wanamchonganisha na wananchi pole pole atakuja shituka Mambo yashaharibika ,hasa kwenye mafuta na miamala ya kifedha hapa mama apaangalie sana Tena kwa jicho la kinabii ,Kuna wahuni wameanza kuchanga karata zao kwa akili kubwa sana .

Leo hii mtaani wameanza kumkumbuka dikteta magufuri ,mama kuwa makini sana Tena sana washaur wako ndio wako mchezoni haswaa
Magufuli asingeruhusu upuuzi wa aina hii, watu walikuwa wanaogopa kupeleka proposal za kipumbavu maana angezipiga chini tu😅!

Watamkumbuka sana tu maana sahizi wapigaji hawatakuwa wanawajibishwa zaidi ya kuandikishwa barua tu
 
Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisa

walianza umeme, wamekuja mafuta, haya makato ya line za simu, bado hapo makato ya luku haya sasa bomoa bomoa karibu kila mkoa yeye yupo yupo tu haelewi lolote maskini mzanzibari wawatu, hazijui fitna za wabara huku yeye anaamini wapo pamoja wanaimba wimbo mmoja kumbe wenzie wana hama tune taratibu kwa ustadi mkubwa.

Yaan wananchi huku hawamwelewi kabisaa na wamesha anza kumchukia kwa sasa maana tangu ashike nchi vitu vya msingi tena vinavyo gusa wananch moja kwa moja vimeanza kupanda bei
Unaposema wanamfitinisha maana yake yeye hana akili au uelewa wa kuja nini baya na nini zuri?
 
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.

Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.

Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:

View attachment 1847872
Hiv huu ni ubomoaji wa awamu ya pili? mbona kuna ubomoajiulishafanyikaga kabla ya upanuzi uliokwisha fanywa tayari
 
Siyo kila Maamuzi tu ni ya Kuilaumu Serikali Mkuu. Na bahati nzuri wakati Wewe ukitaka 'Kuichongea' Serikali kwa Wakazi wa huko ila Wananchi wenyewe wanajua na walishajiandaa kwa hayo Maamuzi baada ya hata Wao wenyewe Kugundua kuwa Wamejenga Kiholela japo kuna ambao wamejenga Kihalali na hao ama Wameshalipwa au Watalipwa Fidia na Mamlaka ( Serikali ) husika.
Hapo uchonganishi upo wapi?
Alichosema nawe umekirudia.
Mkuu siku hizi kichwa hakiko sawa na Kama ukimshabikia jiwe kuua watu basi ujue hii ni karma,itawafuata wote walioshiriki mauaji na utesaji uliofanyika.
Yalianza na sabay
 
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.

Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.

Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:

View attachment 1847872
Form inasema bucha mwisho resort ila kwa sifa watapiga hadi kimara mwisho.
il namwonea sana huruma yule jamaa mwenye mashine ya kupasua mbao pale kimara mwaka jana mwezi wa 7 kauziwa lile eneo 20 milioni sijui itakuwaje .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom