chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Sheria ya mita 90 as road reserve ilizikuta baadhi ya nyumba , hapo mwanzo road reserve ilikuwa mita 30.
Mkuu hicho kihutu ulichoandika sio kila mtu anakifahamuNILIKUWA nacheki na jaamaa Mmoja anaishi kmr mwisho akanicuekesha Sana
Anasema br umashangaa
Yaani toka nihamie kmr ZAIDI ya Bmiabmoakadhaa n kmrtu
Akanikumbusha za mwisho mwishonkacheka sanaaa
Mwisho akatoaushauri mnaobakia fanyeni maombi kweli wakimaliza hi watakuja na 120 amtoki
Poleisana
Hivi ndugu, wategemea wabunge ambao wanakunja karibu 12m. kila mwezi waje kukutetea...... kubalini yaishe tu...Hili linasemwa sana mitaani,lakini Wabunge wapo kimya!!
Wajenge kwy RamiWalipwe fidia sawa ila ukifanyika ule uhuni wa jiwe watu waingie barabarani
Zimepigwa X mpaka Kimara Mwisho nimeshuhudia jana kwa macho yanguForm inasema bucha mwisho resort ila kwa sifa watapiga hadi kimara mwisho.
il namwonea sana huruma yule jamaa mwenye mashine ya kupasua mbao pale kimara mwaka jana mwezi wa 7 kauziwa lile eneo 20 milioni sijui itakuwaje .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisha jua wabunge ni zao la nani basi huna haja ya kuumiza kichwa wabunge hawa hawa ndio walio pitisha budget ya hovyo inayo ongeza mzigo mzito kwa wananchi tena huku wakijua kabisa wanapeleka mzigo kwa wanachi unadhan wana msaada gani hawa vihiyo?Hili linasemwa sana mitaani,lakini Wabunge wapo kimya!!
Wape nyumba yako wakae, mmemuua JPM mkijua yeye ndio mwenye makosa?Leoooooo nimekumbukaa MZEE Mmoja alikuwaa na frame mengi stop OV. Na nyumba za kupanga
wakati WANAPITA grader alianza kulia SANAa SANAa akaongea Mambo mengi Sana..mojawapo alisema najua ntakufa na pressure mmnaniua na pressure walioshiriki wote HAKIKA watanifwata....
Kwani mleta mada ni kirusi cha Covid19? Lile jamaa lilitishia wadudu kama linavyowatishia wanaomkosoa... wadudu wakaona isiwe tabu. Wakamtendea miujiza...Wape nyumba yako wakae, mmemuua JPM mkijua yeye ndio mwenye makosa?
mlimsema sana JPM wa watu, leo mnagundua HAIJALISHI NANI ANAKUWA RAIS, SHERIA ZIKO PALE PALE...