Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

This time i hope watafidiwa

We jamáa bana, usitumie hisia ktk kufikiri tumia uhalisia

Wafidiwe kwa kipi ilhali wamevamia road reserve!??

Yaani ni sawa na Machinga walivovamia road reserve alafu wakitaka kuondolewa wadai fidia
 
Yeah bi mkubwa ni kondoo ila amezungukwa na kundi la simba! Wabara wanawaza upigaji hawana ethics kazini wao wako ili kujijenga kimaisha by any means watajirike 😅😅😅
Lakini naikia Mama mshirikina balaa
 
Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisa...
Hili linasemwa sana mitaani,lakini Wabunge wapo kimya!!
 
Ukinywa valuu bila kula,halafu usiku ukashtuliwa na muungurumo wa tumbo,ndiyo unakuwa na mawenge kama hivyo
 
NILIKUWA nacheki na jaamaa Mmoja anaishi kmr mwisho akanicuekesha Sana
Anasema br umashangaa...
Kumbe Kmr ndiyo Kimara. Kidogo nisielewe...

Lakini mama si amesema watalipwa na kutafutiwa viwanja sehemu zingine? Hapo si angalau kuna unafuu?
 
Unaelewa 'effect' ya Building Permit, una issue vipi building permit kwenye road reserve na unatoza kodi ya pango.

Unawapa watu uhalali wa kisheria kwa kutoa haramu (Legitimate Expectation ).
Kwani sheria inasemaje kuhusu kujenga kwenye hifadhi ya barabara? Siyo kila kitu kulalama tu, wabongo bana, hatunaga jema.
 
Back
Top Bottom