Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Posho tutalipwq na nani.Mbona nahisi tunaenda kufanya kazi ya hisani.Makatibu walivyo na njaa watatulipa kweli?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
Wahuni wameshapanga yao.Kuna watu wanaogopana au?
Ehee kumekucha sasaChama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
Sawa. Lakini sio leo na hilo nina uhakika nalo.Hata viongozi wa juu wa ccm hawawezi kuwa na jeuri ya kusema unachosema.
Muda utafika itaanguka, Hakuna kinachodumu milele
Sijasema leo. Wewe uliyesema haitatokea ndio ulikosea sababu Hakuna kinachodumu mileleSawa. Lakini sio leo na hilo nina uhakika nalo.
CCM ni chama. Na kama chama LAZIMA kiwe na uongozi. Na uongozi wa chama kazi yake ni kukiongoza chama kwa wakati wake na kwa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu za chama kwa wakati husika.Sioni ukimtaja Samia Suluhu Hassan na GENGE lake katika CCM hiyo unayotaka itawale milele!
Hiyo ni hatua moja mbele tokea hapa tulipo sasa. Endelea hivyo hivyo.
Taratibu za kuitisha Mkutano Mkuu wa CCM ziko kwenye Katiba ya CCM, toleo la 1977 (kama lilivyorekebishwa). Kwa muhtasari:Wakuu
Hivi ni nini kinaendelea huko CCM? Mbona ni kama mfumo umepaniki wakuu?
Baada ya kuhairishwa kwa vikao leo wameitisha mkutano wa dharura. Nini kinaendelea?
=======
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417205
TEHAMA ndio teknolojia ya kisasa. Mikutano kufanyika kwa njia ya mtandao ni hatua kubwa waliopiga CCM. Ndio faida ya kueneza Internet nchi nzima. Pongezi Mheshimiwa M/K Dr Samia Suluhu.Hivi ni nini kinaendelea huko CCM? Mbona ni kama mfumo umepaniki wakuu?
Baada ya kuhairishwa kwa vikao leo wameitisha mkutano wa dharura. Nini kinaendelea?
Britanicca kapigwa kibano, hana ubavu wa kusikia chochote sasa hivi.britanicca uja sikia lolote
CCM mpaka hutishia kuteka au kuua kabisa!Una uhakika wanaomtukana Mbowe ni CCM?
CHADEMA baadhi ya mikutano yake ilikuwa inafanyika mitandaoni na kama kuanza walianza CHADEMA.TEHAMA ndio teknolojia ya kisasa. Mikutano kufanyika kwa njia ya mtandao ni hatua kubwa waliopiga CCM. Ndio faida ya kueneza Internet nchi nzima. Pongezi Mheshimiwa M/K Dr Samia Suluhu.
Baada ya hii kupita, wapinzani wote wataiga.
Chadema imefanya mikutano kwa zoom conference muda mrefu sana.TEHAMA ndio teknolojia ya kisasa. Mikutano kufanyika kwa njia ya mtandao ni hatua kubwa waliopiga CCM. Ndio faida ya kueneza Internet nchi nzima. Pongezi Mheshimiwa M/K Dr Samia Suluhu.
Baada ya hii kupita, wapinzani wote wataiga.
Hakuna rangi wataacha kuona mwaka huu kubabeki zaoChama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
TEHAMA ndio teknolojia ya kisasa. Mikutano kufanyika kwa njia ya mtandao ni hatua kubwa waliopiga CCM. Ndio faida ya kueneza Internet nchi nzima. Pongezi Mheshimiwa M/K Dr Samia Suluhu.
Baada ya hii kupita, wapinzani wote wataiga.
Hiyo ndo ccm. Washamba mtapigwa chengeshabwege mpaka mjue kuwa hamjui; ukijastuka kumekucha watu washatiki.