Kumekucha: CHADEMA Kanda ya Nyasa kuzungumza na Waandishi wa Habari Iringa Mjini

Kesho utasikia polisi wamekuja hapo na kuvuruga mkutano then tra watakula sahani moja na mwenye hotel wakati haya yakitokea maaskofu wetu Salam za xmass walizungumzia kutunza mazingira!!
 
Kesho utasikia polisi wamekuja hapo na kuvuruga mkutano then tra watakula sahani moja na mwenye hotel wakati haya yakitokea maaskofu wetu Salam za xmass walizungumzia kutunza mazingira!!
Ni aibu kubwa sana !
 
View attachment 1310591

Kaa tayari kwa hoja nzito .

Wote mnakaribishwa
Nikuulize swali Erythro: hivi ulishagundua hii mbinu ya kuharibu maksudi mazima mada hapa JF? Hebu tazama uchangiaji toka #7 na kuendelea.

Badala ya watu kuchangia kutafuta mbinu za kukataa "uchafuzi wa Tume ya Uchaguzi", jamaa wanaweka vurugu kupoteza lengo.

Natumaini moja ya mambo yatakayosemwa kwenye mkutano huo wa kanda, ni namna ambayo tume mpya ya uchaguzi itakavyopatikana kati ya sasa na kabla ya uchaguzi mkuu.

Kiuhakika kabisa sioni jinsi yoyote itakayowezesha CHADEMA na washirika wake watakavyoshiriki kwenye 'uchafuzi' ule.

Na jibu sio 'kususia uchaguzi' ili CCM ajitangaze mshindi.

Kwa hiyo kuna kazi nzito inayowakabili nyinyi, na taifa zima kwa ujumla. Kazi yenu kubwa sasa hivi ni kuongoza njia, kutafuta ufumbuzi wa hili tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…