Kumekucha: CHADEMA Kanda ya Nyasa kuzungumza na Waandishi wa Habari Iringa Mjini

Kumekucha: CHADEMA Kanda ya Nyasa kuzungumza na Waandishi wa Habari Iringa Mjini

_Sisi kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa tunaieleke ( 357 X 640 ).jpg
 
Kalamu1,
unajua mmeshaambiwa na katibu mmkuu wa ccm kuwa nyie mnaosubiri huruma ya tume nyingine ili mshinde mmechelewa sna sasa njia moja nawapa uchaguzi ukifika JITOENI MSISHIRIKI hapo mtakuwa mmewakomoa kweli tena sanaa
Mkuu WIGWA, CCM wanapenda sana wazo hilo la 'kutoshiriki kwa vyama vya upinzani'; si uliona lilivyofanikisha ushindi wa CCM katika serikali za mitaa, au mara hii umesha sahau?
 
Mwaka huu wa uchaguzi elimu itolewe ili watu wengi wajitokeze siku ya kupiga kura na wawachague viongozi wa chaguo lao
Hili ndilo ninaloshindwa kuwaelewa CHADEMA kwa nini hawalipi nguvu zote. Ni njia pekee kwa sasa iliyobaki yenye usalama.

Ni bora CCM waonekane wachafu zaidi kwa kufuta kura zilizo wazi zilizopigwa na wananchi wengi, kuliko wananchi hao kubaki majumbani wakilalamika tu bila ya kwenda kupiga kura.

Kazi wanayotakiwa CHADEMA na wenzao kuifanya kwa bidii kubwa ni kuhimiza watu wengi kuliko kawaida ya chaguzi zetu zote zilizopita kujitokeza na kwenda kupiga kura.

Hata kama wataipigia CCM ni bora kuliko kutokwenda kupiga kura.
 
Hawa jamaa wamejiandaa kuzuia wagombea wa upinzani kuchukua/kurudisha fomu za kugombea,kuwaondolea sifa,kuwabimbikia kesi,kuteka,kushambulia/kuua wagombea nk.Ni vizuri kuhamasisha wananchi kujilinda/kulindana,kuhakikisha wanapiga kura na kuzilinda kikamilifu.
Viongozi/Vyama vya upinzani viungane na kuweka nguvu pamoja kumwondoa mkoloni mweusi ili tutafute maridhiano ya kitaifa.
Vilevile wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu,ifanyike amsha amsha ya kudai Katiba mpya na/au Tume Huru ya Uchaguzi na kuweka wagombea wenye sifa stahili.Ninaomba tuelekeze nguvu kwenye haya tunaweza kupunguza sana nguvu ya watesi wetu au kuwang'oa kabisa.
Jukumu hili LA hamasa lisisubiri wanasiasa tu,kila Mtanzania anahitajika kuwajibika kwa mustakabali wa Tanzania Bora ya sasa na baadaye.Amani,Umoja na Mshikamano unahitajika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom