Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Hope this time hiyo kauli haitaishia hewani kama ile ya November.

Muhimu sasa, na hao kina Mnyika nao wazunguke nchi nzima kama wakina Shaka na Chongolo wanavyofanya, lazima waende nao sawa kwa sawa.
 
Hawa watu hawaishi ***** *****,wasubiri Rais awape go ahead ndo waanze brah brah zao,tofauti na hapo ni kutafuta vurugu
 
Na wewe kama nani kututisha? Huo upumbavu wa uchawa wako wa kishamba huko huko unakolamba viatu. Unajaza server kwa mabandiko yako ya kipumbavu na unaowasifia wanakuona mpumbavu tu.
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Wewe lala na watoto wako Tena fungeni milango na mageti kabisa na mshushe neti hujaalikwa acha kuwashwa!
Unachoumia ni mini wewe ccm mbuzi? Hao ni cdm siyo mambuzi, acha kuwatisha vijana wazalendo!
 
Mikwara tu hiyo hakuna cha mikutano wala nini, polisi wanawasubiri wawavunje miguu hiyo wakati huo watoto wa mbowe na lissu wapo marekani na uraia wa huko.
Miguu ya wanacdm wazalendo haikuhusu hivyo kaa kwa kutulia!
 
Kwani tukifanya mikutano ya hadhara tunavunja kifungu kipi cha katiba ?
 
Wewe ni Nani nchi hii Hadi uwatishe wanacdm kuitii Katina ya nchi yenye kutoa Uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani? Jifunue kwenye Hilo blanket la upumbavu acha kujipendekeza kizembe utakuja kuliwa kimasihara!
 
Kwa Nini wanachadema wanapenda kumnukuuu manenoo matam mwenyekiti wa KWANZA wa chama Cha mapinduzi Ii??
 
Mkuu

Lazima mfanye kazi yenu ipasavyo man deni kubwa Sana kwa DOLA iliyowalinda dhidi ya matesot ya mboga mboga!

Fanyeni kazi yenu mmaliziet mission mliyoitiwa kuifanya NDANI ya nchi yetu Tanzania!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…