Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Weka video, ckuizi mmeanza kuleta Uzi kama yule JOHN BAPTIST
 
ikitokea Samia anahutubia hapa na Lissu kule, watanzania wataenda wapi?
(Ondoa wale wanaoletwa na mabasi na kupewa posho, na wale wanafunzi wanaoambiwa wavae nguo za nyumbani waende kwa lazima na rollcall inafanywa)
 
Waache tu wajichanganye wafuliwe
 
We jamaa siku ukilamba uteuzi uje utuambie sasa umevuna, kama mpaka mdaa huu hawajakuona basi Kaoge Baharini !!
 
hao wanaoanza mikutano ni wale wanaomuunga mkono lissu au wanao muunga mkono mbowe?
 
Waache tu wajichanganye wafuliwe
wacha wanaume wafuliwe ili MAMBUZZI ๐Ÿฎ ๐Ÿฎ kama wewe mje muishi kwa amani na waume zenu bila hofu
Your browser is not able to display this video.
 
hao wanaoanza mikutano ni wale wanaomuunga mkono lissu au wanao muunga mkono mbowe?
ZWAZWA wa chamacha MAMBUZZI ๐Ÿฎ๐Ÿฎ๐Ÿ˜œumipata wapi akili hii?
 
hiki chamacha MAMBUZZI ni shida sana kumbe hata wageni wao wanakijua ni chamacha MAMBUZZI ๐Ÿฎ ๐Ÿฎ ๐Ÿฎ
Your browser is not able to display this video.
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Acha ubwege. Njaa imekushika mpaka matakoni halafu unaogopa kufa na unaogopa haki yako ya msingi? Sasa hii nchi ikiwa na mazuzu na mabwege Kama wewe itaendelea kweli au tutapata Marais mabwege na wehu Kama jpm tena
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Huyu mgeni wenu hakukosea kabisaa kuwaita MAMBUZZI ๐Ÿฎ ๐Ÿฎ ๐Ÿ˜œ
 

Attachments

  • 61ff2290-030f-455d-9e16-4df12f9b76ac.mp4
    4.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ