Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Acha ubwege. Njaa imekushika mpaka matakoni halafu unaogopa kufa na unaogopa haki yako ya msingi? Sasa hii nchi ikiwa na mazuzu na mabwege Kama wewe itaendelea kweli au tutapata Marais mabwege na wehu Kama jpm tena
NENDA KAANDAMANE PEKEYAKO NA FAMILIA YAKO
 
ZWAZWA wa chamacha MAMBUZZI 🐮🐮😜umipata wapi akili hii?
mazwazwa ni yale majitu yanayoamrishwa na zwazwa kama lissu yaandamane wakati zwazwa mkuu yuko ubergiji anakuna mbegu za mzungu
 
Halafu nchi ukienda mrama unakuwa wakwanza kulalama wakati ni mwoga wa kiwango hicho
NILALAME NINI ? FANYA KAZI ACHA KULALAMIKA MTOTO WA KIUME YAANI NCHI INAENDAJE MRAMA SASA FANYA KAZI KWA BIDII WALA HUTAKAA UWALALAMIKIE VIONGOZI WA NCHI
 
Tangazo jema.

Taifa linahitaji kupona
Taifa linahitaji kujikwamua
Taifa linahitaji ukweli kwa sababu CCM imetudanganya maisha yetu yote
Taifa linahitaji fikra mbadala. Fikra za CCM zimefikia ukomo hakuna jipya


Kumbukeni, hakuna asiyejua yaliyowapata basi mje na mikakati ya kufanikisha ulinzi wa kura, uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.


Yapo mengi yanayohitaji weledi na ufafanuzi wa kina.


Tunajua polisi watasaka kupanda vyeo kupitia mikutano yenu
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Ndg kwanini mnapenda kuwatisha watanzania, je! Vyama vya upinzani havina haki kikatiba ya kuendesha shuguli zao? Sina chama chochote lakini sioni kama ni vyema kuendelea kuwaaminisha watanzania kuwa upinzani ni kosa.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Mabomu ya Nini Tena kwenye vitu vilivyopo kwenye katiba yetu wenyewe? Mjomba? WEWE mfuasi wa mwenda kuzimu
 
NILALAME NINI ? FANYA KAZI ACHA KULALAMIKA MTOTO WA KIUME YAANI NCHI INAENDAJE MRAMA SASA FANYA KAZI KWA BIDII WALA HUTAKAA UWALALAMIKIE VIONGOZI WA NCHI
Kazi ziko wapi. Nialile nije kufanya hizo kazi Mana Nina nguvu Sana lakini kazi sizioni
 
Magufuli aliwazuia Wapinzani kufanya mikutano halafu Covid ikamalizia. Kwa hiyo sasa Wapinzani hawajafanya mikutano siku nyingi.
 
Chsma kipange mikutano nchi nzima kwa tarehe na muda unaofanana ili tuwagawane walinzi wa mikutano
 
Kufanya maandamano nikosa?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
mazwazwa ni yale majitu yanayoamrishwa na zwazwa kama lissu yaandamane wakati zwazwa mkuu yuko ubergiji anakuna mbegu za mzungu
chamacha MAMBUZZI 🐐🐐🐐nyie tumishawajua
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Mkuu wa MACHAWA ktk ubora wako
 
Serikali ya CCM wamepora mabilioni ya pesa za mradi wa uvuvi na ufugaji samaki kwa vizimba, vigogo wamegawana pesa zetu. Waziri Mkuu yupo kimya, Mama Samia hajali chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…