Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Sasa kwenye mikutano ya hadhara tunaenda kufumua huu uchafu wote
mnajipa matumaini ya kipumbavu sana huyo mbowe tayari kishalamba asali sijui mnaenda kuandamana na nani? mwambieni lissu aje awasaidie ingawaje naye watu washamshtukia akisema watu njooni watu hawaendi da mnashida sana
 
Kaa tayari kwa Nondo juu ya Nondo
 
Tangu lini Mnyiha wa Mbozi tena mchuna Ngozi kama wewe akawa na akili
 
mnajipa matumaini ya kipumbavu sana huyo mbowe tayari kishalamba asali sijui mnaenda kuandamana na nani? mwambieni lissu aje awasaidie ingawaje naye watu washamshtukia akisema watu njooni watu hawaendi da mnashida sana
Wapi wamesema kuandamana
 
Kwani tukifanya mikutano ya hadhara tunavunja kifungu kipi cha katiba ?
Desemba inaishia, hakuna cha mikutano ya hadhara wa maandamano. Suala siyo vifungu vya katiba. Ni zaidi ya hapo hususani sheria, kanuni na taratibu za nchi. Amri ya rais ni sheria kamili. Ili muswaada wa bunge uwe sheria ni lazima ukubaliwe na rais kwa kuweka saini yake ya ku ' I accent'.
 
Endelea kututegea sikio hapahapa jf , utafurahi .
 
Tangu lini Mnyiha wa Mbozi tena mchuna Ngozi kama wewe akawa na akili
🤣🤣🤣 Ole wenu mfanye mikutano bila kibari mtakiona Cha mtema kuni maana naona mlitaka kutikisa kiberiti, Mikutano fanyieni hapo kwenye ofisi zenu za ufipa mliposhindwa hata kuweka madirisha ya kupitishia hewa
 
Endelea kututegea sikio hapahapa jf , utafurahi .
nyie ndiyo mnavunja sheria mnatakiwa kushitakiwa katiba inasema ni haki yenu kufanya mikutano nyie hamfanyi sasa mnataka kusema hamstahili kufutiwa usajili kwa kuvunja katiba ya nchi kutofanya ikutano? wakiwazuia andamaneni barabarani ili mkamatwe wote mkomeshwe
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Kila mmoja anakula alikopeleka mboga, natetea kizazi changu na mimi mwenyewe watoto wao hawanihusu kama mtanzania, kwanini wapigwe??
 
Hope this time hiyo kauli haitaishia hewani kama ile ya November.

Muhimu sasa, na hao kina Mnyika nao wazunguke nchi nzima kama wakina Shaka na Chongolo wanavyofanya, lazima waende nao sawa kwa sawa.
Walisema mikutano inawakwamisha kimaendeleo sasa sijui baada ya kuzuia maendeleo yamepatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…