Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Kumamake kwetu haiko hata mara moja...
Kazi iendelee motherfucker...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe balaaaaaa yaniiii. Umecomment baada ya kuvuta bange 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uongo mtupu. Kuna maeneo ya Sinza hayajapata maji hata kabla DAWASA kutangaza mgao, ati msukumo wa maji ni mdogo
 
Hii nchi il isonge mbele inamuhitaj kiongoz mwenye roho ngumu na roho isiyo ya huruma kwa washenz na wahujumu,

mambo ya udemokrasia na kuchekeana madhara yake ndiyo haya muyaonayo.

bibi yenu hajui kuwaadabisha watendaj wake, zaid ya kuwachekea, hapa ni mwanzo tu, yajayo yanasikitisha.[emoji41][emoji41]
 
Acha hizo ww...mm n mkaz wa ukonga..huku watu wamechimba visima binafsi..maji safi yasiyo na chumvi yapo 24 hrs..hatuna shida na DAWASCO

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Maji yamepungua mto Ruvu hakuna cha Magufuli angekuwepo wala nini acheni kumfanya huyo mtu kama Mungu, ilitokea bahati nzuri katika kipindi chake halikutokea tatizo kama hili basi.
Mkuu naona upeo wako wa kufikiri ni mdogo Mno ...... Wewe cha kifanya ni ... Soma comment za wadau uelimike zaidi.

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba huoni huu ukame unaoendelea?

Hakuna cha legacy, jpm did nothing zaidi ya ku-opress wasema ukweli.
 
Wakati wa jpm haya mamigao yalikuwepo ila hakukuwa na mtu mwenye ujasiri wa kusema.

Msimuone jpm kama alifanya ya maana, alikuwa hopeless tu aliweza tumia vyombo vya dola kunyamazisha wasema ukweli.
You nailed it !!!
Caged birds thinks that flying is an illness,
 
Huyu late JPM aliwezaje
Kama tupo early 90's maji hayapo kabisa
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Ulivyoandika utadhani kipindi cha magufuli umeme ulikuwa haukatiki!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Walimchukia Jiwe Mwamba, walisahau mambo muhimu wanayo ya hitaji haya sasa kumekucha umeme,maji,machinga, tozo, foleni za kikuda n.k kiufupi kimeumana tutakoma ubishi [emoji18]


(TUKUTANE 2025)
2025
Tume 3
Wananchi 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…