Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

Kwenye huu uchaguzi , vijana wajinga na wapumbavu watatumiwa sana. Lakini wajue wanajiharibia maisha yao. Serikali haitawechekea.
Kwahiyo wale wakurugrnzi watume ni wajinga na wapumbavu unavo kusudia ww maana yote haya wamesababisha wao
 
Kuna watu wanatafuta pa kujificha muda huu, no nonsense,

Hizo ndio gharama zenyewe za kuilinda amani yetu.

Pongezi kwa serikali.
Pongezi kwa tume na wakurugenzi maana wao ndiyo waliyofanya iwe hivo
 
Kwenye huu uchaguzi , vijana wajinga na wapumbavu watatumiwa sana. Lakini wajue wanajiharibia maisha yao. Serikali haitawechekea.
ila wakichagua ccm hao vijana bado watakuwa ni wajinga na wapumbavu?? ni hadi waonekane wanasapoti upinzani ndio uwape sifa hizo
 
Wanacho takiwa kufanya ni kuwaagiza maaskari wao waache kuingilia mambo ya uchaguzi tuone kama haya malalamiko yata tokea.
Hizi shida zote zina letwa na polisi na tume yenyewe kutaka kuibeba Ccm
Mkuu ikiwa kampeni zinafanyika Tanzania Basi tambua ni lazima serikali iwaingilie. Amani ya nchi lazima ilindwe hakuna ambaye anaweza kufanya vile anataka bila kufuata kanuni na sheria za nchi
 
Kuna watu wanatafuta pa kujificha muda huu, no nonsense,

Hizo ndio gharama zenyewe za kuilinda amani yetu.

Pongezi kwa serikali.
gharama za kuhujumu upinzani zimesababisa green guard mmoja yupo kwenye friji kwa malipo ya buku 7.
 
Yani utume watu waje kuniteka wakati najitetea nawauwa halafu useme nina hatia? Vipi Kama wangeniwahi?
 
Waanze kukamata wanaopora fomu, wanaowakata wagombea, waliokataa kupokea fomu, hao ndiyo vyanzo vya fujo.
 
Back
Top Bottom