Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

Sijawahi kuona utaratibu mbovu wa uchaguzi wa awamu ya 5 bora hata tume ya uchaguzi ingelikuwa kampuni ama ihusishe vyama vyote vya upinzani NEC ni fujo tupo 'there are good signs of no free and fair general election of 2020
Mkuu

Madikteta yote hua yanafanya hivi:

-Kamata tume ya uchaguzi----kashafanya hili
-Kamata judicial system---kafanya hili
-Kamata state militaries----Keshakamata hili
-Kamata perliament---kashakamata hili
-Kamata media---keshafanya hili kasoro internet tu
-kamata utumishi wa serikali----keshafanya hili mpaka ma-DED etc wanafanya anayotaka yeye na sio sheria za nchi
-Kamata dini----kashafanya hili
-Kamata au ua private sector--keshaua
-Ua civil societies---keshaua na juzi kamalizia Tume ya Haki za Binadamu TZ
-Shika financial sector....BoT na benki zote zipo terrorized
-Kamata country statesmen....wote wanampigia magoti mfalme,sio mwinyi,sio msekwa,etc

All pillars kashika in a very bad way....vyote kashika!

Kumuondoa,ni atleast tumnyang'anye more than one pillar.....

Kilichobakia hapo juu ni internet pekee yake.....aki-shutdown then tutakua 100% dark state!

Tutumie internet ku-horizon media,then tupiganie Tume Huru,hapo tunaweza kumuangusha!
 
Upumbavu Mtupu munakaa kimya wakati uvunjifu wa haki unaendelea munasubiri watu wafe ndo mkachunguze. Shame on you.
 
Mkurugenzi wa mashtaka Biswalo Mganga na Mkurugenzi wa Upelelezi makosa ya jinai Robert Boaz wametua kijijini ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya watu wawili.

Lengo ni kuwatia mbaroni wahalifu wote katika kisiwa hicho.

Chanzo: Eatv.

Maendeleo hayana vyama!
Mmmh!! Ukara tu ndio kuna criminals?? U afiki tu.
 
kwa haya yanayoendelea, namshauri mwenyekiti wa Tume apate muda , atulie na kutafakari "moment of reflection'' ajiulize maswali 2-3, hana cha kupoteza, maslahi yake kama retired judge ni makubwa. asije akawatia aibu watani zangu Wahaya. Mtani dont be driven like gari bovu. Tume please try to be fair and impartial
 
Kwenye huu uchaguzi , vijana wajinga na wapumbavu watatumiwa sana. Lakini wajue wanajiharibia maisha yao. Serikali haitawechekea.

Hakuna kijana hata mmoja atatumiwa ila haki zao ndio zitawasukuma kama zipo
 
Mkurugenzi wa mashtaka Biswalo Mganga na Mkurugenzi wa Upelelezi makosa ya jinai Robert Boaz wametua kijijini ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya watu wawili.

Lengo ni kuwatia mbaroni wahalifu wote katika kisiwa hicho.

Chanzo: Eatv.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi hapa TEMEKE wameenda?? kwa mgombea Udiwani aliyecharangwa mapanga??
 
Mkuu

Madikteta yote hua yanafanya hivi:

-Kamata tume ya uchaguzi----kashafanya hili
-Kamata judicial system---kafanya hili
-Kamata state militaries----Keshakamata hili
-Kamata perliament---kashakamata hili
-Kamata media---keshafanya hili kasoro internet tu
-kamata utumishi wa serikali----keshafanya hili mpaka ma-DED etc wanafanya anayotaka yeye na sio sheria za nchi
-Kamata dini----kashafanya hili
-Kamata au ua private sector--keshaua
-Ua civil societies---keshaua na juzi kamalizia Tume ya Haki za Binadamu TZ
-Shika financial sector....BoT na benki zote zipo terrorized
-Kamata country statesmen....wote wanampigia magoti mfalme,sio mwinyi,sio msekwa,etc

All pillars kashika in a very bad way....vyote kashika!

Kumuondoa,ni atleast tumnyang'anye more than one pillar.....

Kilichobakia hapo juu ni internet pekee yake.....aki-shutdown then tutakua 100% dark state!

Tutumie internet ku-horizon media,then tupiganie Tume Huru,hapo tunaweza kumuangusha!
Unaweza kuwa sawa kama umefanya utafiti.
Ila mimi HAJANIKAMATA na haitakaa itokee. NEVER EVER.
Ila UPINZANI uliko siko Upande wao pia, ni puppet
 
Mkurugenzi wa mashtaka Biswalo Mganga na Mkurugenzi wa Upelelezi makosa ya jinai Robert Boaz wametua kijijini ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya watu wawili.

Lengo ni kuwatia mbaroni wahalifu wote katika kisiwa hicho.

Chanzo: Eatv.

Maendeleo hayana vyama!
Hata aibu hawana?
Unyama wote walio fanyiwa wapinzani, ikiwemo mauaji na marisasi yote yale kwa kiongozi wa bunge na mwakilishi wa wananchi, hawakujitokeza kushughulikia na wahalifu/wauaji hata tu kinafiki?!

Baada ya jambazi/mporaji mwana ccm mwenzao, kuvuna alichopanda huko Ukara, wamefura?! Pumbavu zao
 
Serikali inaenda kujikamata yenyewe?

Serikali ina insight violence kwa kunyima watu haki zao,then inataka wanyamaze,October lazima Uhuru Kenyatta aje kupatanisha watu hapa baada ya death toll!

Kuna mtu baada ya utawala wake,The Hague will have to go to work!

Wait and see!
Watakaokufa ni nyumbu wa ufipa,
Hayo mnayofanya mnajipunguzia kura wenyewe, maana hao manyumbu yatakamtwa au.kujificha sasa mnasaidia nini?
 
Unaweza kuwa sawa kama umefanya utafiti.
Ila mimi HAJANIKAMATA na haitakaa itokee. NEVER EVER.
Ila UPINZANI uliko siko Upande wao pia, ni puppet
Mkuu

Nashindwa kuelewa,unabisha hajakamata hizo Pillars zote au unabishia nini hasa?

Sijaelewa!

Upinzani upo wapi?

Upinzani hauwezi kua upande wa Magufuli,NEVER ever!

Kama Magufuli ana maadui ni simple logic lazima Upinzani uwe upande wa adui yake!

Pia,hatuna uhakika kwanini hao Mabeberu ni adui wa Magufuli na sio adui wa Uhuru Kenyatta au South Africa au South Korea au Singapore,etc?

Kwanini ni manchi yenye dictatorship tu ndio yanasema mabeberu wanawachukia?

Dictators have never been good for life or business kabisa!

They have to go!
 
Watakaokufa ni nyumbu wa ufipa,
Hayo mnayofanya mnajipunguzia kura wenyewe, maana hao manyumbu yatakamtwa au.kujificha sasa mnasaidia nini?
Afe Nyumbu wa Ufipa au Masaki ni raia wa Tanzania!

Ni death toll!

Lazima mkajibu The Hague kwanini huyu "Nyumbu wa Ufipa" kafa!

Wewe unadhani Nyumbu wa Ufipa akifa wewe wa Masaki huulizwi?Unaenda The Hague mzee!

Usijidanganye!

Na by the way,Nyumbu wa Ufipa hafi mwenyewe tu from nowhere,kuna mtu wa upande wa pili kamuua,ndio mtajieleza huyu "Nyumbu" kajiuaje yeye mwenyewe!
 
Back
Top Bottom