Ukisikia nchi USA ameweka Military Base. Hapo ANANUFAIKA.
Najaribu kufikiri kama unajua kuwa DC zinanyonya LDC kwa kutumia mashirika yaitwayo ya kimataifa.
Sio sipendi mahusiano ya kidiplomasia la . Nawachukia wazungu kwa kuwaona waafrika si kitu.
Afrika imeshakuwa COLONIZED AGAIN. Chukua 100 yrs to come. Nakuhakikishia tutakuwa very poor kuliko leo. Hata TL wakishirikia na BM, ZK, mzee Rungwe wawe marais at the same day washirikiane.
Kama hawatajua mkoloni amejipanga kutunyonya.
Why deni la taifa limeendelea kuongezeka?
Hii ni kanuni ukiwa unadaiwa huna jeuri ni mtumwa kwa anayekudai.
Tusifikiri Mwl Jk Nyerere aliachia haya mambo kwa kupenda NO. big No. Ma bwana Wakubwa walikuwa wamemshinikiza. Je Nyerere alikuwa dictator kama leo huyu anasema?
Alikuwa mwizi wa mali za Umma . No.
Jamani tuacheni Ushabiki. Hata kama jpm au Lisu wakitawala tunatakiwa tujue adui hasa ni nani? Ni Lisu? No. Ni jpm? No
Ni Developed Countries(DC).
Madini yanatakiwa , ardhi ya kilimo inatakiwa, Mafuta yanatakiwa, kila kitu kipo Afrika kwao hakuna
Mkuu
Unafeli sana
Unashindwa kujua Kabla Lissu wala Magufuli hawajazaliwa nchi zilizoendelea zinanyonya nchi weak!
Kaja Lissu na Magufuli,wamekuta haya!
Lissu amesababisha TZ inyonywe vipi maana Lissu hana madaraka wala power yeyote ya kufanya maamuzi yeyote kuhusu nchi hii!
Waliofanya nchi ikanyonywa na kuendelea kunyonywa ni walio madarakani tu maana wao ndio wana power zote na ndio signatures zao zipo kwenye mikataba na sio Lissu
Lissu hana chochote cha power ya chochote nchi hii,ni kama mimi na wewe hapo!
Tuna tatizo la Personal Freedoms,Demokrasia na Free Enterprise na Rule of Law kwenye nchi!
Adui wa nje za nchi wapo,tatizo tuondoe tatizo lililopo ndani ya nchi kwanza,tatizo hili unaambiwa halipo ila la nje ya nchi lipo.....
Na hii wanafanya makusudi kabisa kuwaambia ndani ya nchi hua hakuna tatizo,tatizo ni nje ya nchi na Tundu Lissu,na too bad wananchi hua wanaamini huu upumbavu!
Dikteta yeye hana kosa kabisa,wenye kosa ni maadui wa nje ya tu wakishirikiana na Lissu!
Ni too bad unaamini Lissu ni tatizo maana anatumika na mabeberu kushikia kalamu wenye nchi kusaini mikataba ya kinyonyaji,kuzuia Bunge lisijadilia mikataba,kuua demokrasia,kufanya wakatae Tume Huru ya Uchaguzi,kufanya nchi isiwe na Rule of Law maana dikteta hua yupo juu ya sheria za nchi!
Kwakweli ni maajabu wewe kutokuona pure incompetence za hawa watawala wetu,kutokutumia akili,kuvunja katiba,kuto kuendeleza demokrasia,watu kuuawa,uchumi kua mbovu,watu kua na uoga,wafanyakazi wa umma kutokufuata sheria za nchi,etc....
Then unaona mtu asie madaraka au capacity yeyote kama Lissu eti anatumika na Mabeberu kuua nchi wakati wenye madaraka wapo maofisini!
Lissu hakua nchini kwa miaka 3 to begin with,kafanya maamuzi gani kuua ustawi wa nchi unaolalamikiwa?