Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

Yule mzee hana uwezo wa kuongoza ile tume
 
Ukisikia nchi USA ameweka Military Base. Hapo ANANUFAIKA.
Najaribu kufikiri kama unajua kuwa DC zinanyonya LDC kwa kutumia mashirika yaitwayo ya kimataifa.

Sio sipendi mahusiano ya kidiplomasia la . Nawachukia wazungu kwa kuwaona waafrika si kitu.
Afrika imeshakuwa COLONIZED AGAIN. Chukua 100 yrs to come. Nakuhakikishia tutakuwa very poor kuliko leo. Hata TL wakishirikia na BM, ZK, mzee Rungwe wawe marais at the same day washirikiane.

Kama hawatajua mkoloni amejipanga kutunyonya.

Why deni la taifa limeendelea kuongezeka?
Hii ni kanuni ukiwa unadaiwa huna jeuri ni mtumwa kwa anayekudai.

Tusifikiri Mwl Jk Nyerere aliachia haya mambo kwa kupenda NO. big No. Ma bwana Wakubwa walikuwa wamemshinikiza. Je Nyerere alikuwa dictator kama leo huyu anasema?
Alikuwa mwizi wa mali za Umma . No.

Jamani tuacheni Ushabiki. Hata kama jpm au Lisu wakitawala tunatakiwa tujue adui hasa ni nani? Ni Lisu? No. Ni jpm? No
Ni Developed Countries(DC).
Madini yanatakiwa , ardhi ya kilimo inatakiwa, Mafuta yanatakiwa, kila kitu kipo Afrika kwao hakuna
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Upppuzi mtupu....amekosa kaz...hvi waliommiminia lissu wako wap
 
Mkuu

Unafeli sana

Unashindwa kujua Kabla Lissu wala Magufuli hawajazaliwa nchi zilizoendelea zinanyonya nchi weak!

Kaja Lissu na Magufuli,wamekuta haya!

Lissu amesababisha TZ inyonywe vipi maana Lissu hana madaraka wala power yeyote ya kufanya maamuzi yeyote kuhusu nchi hii!

Waliofanya nchi ikanyonywa na kuendelea kunyonywa ni walio madarakani tu maana wao ndio wana power zote na ndio signatures zao zipo kwenye mikataba na sio Lissu

Lissu hana chochote cha power ya chochote nchi hii,ni kama mimi na wewe hapo!

Tuna tatizo la Personal Freedoms,Demokrasia na Free Enterprise na Rule of Law kwenye nchi!

Adui wa nje za nchi wapo,tatizo tuondoe tatizo lililopo ndani ya nchi kwanza,tatizo hili unaambiwa halipo ila la nje ya nchi lipo.....

Na hii wanafanya makusudi kabisa kuwaambia ndani ya nchi hua hakuna tatizo,tatizo ni nje ya nchi na Tundu Lissu,na too bad wananchi hua wanaamini huu upumbavu!

Dikteta yeye hana kosa kabisa,wenye kosa ni maadui wa nje ya tu wakishirikiana na Lissu!

Ni too bad unaamini Lissu ni tatizo maana anatumika na mabeberu kushikia kalamu wenye nchi kusaini mikataba ya kinyonyaji,kuzuia Bunge lisijadilia mikataba,kuua demokrasia,kufanya wakatae Tume Huru ya Uchaguzi,kufanya nchi isiwe na Rule of Law maana dikteta hua yupo juu ya sheria za nchi!

Kwakweli ni maajabu wewe kutokuona pure incompetence za hawa watawala wetu,kutokutumia akili,kuvunja katiba,kuto kuendeleza demokrasia,watu kuuawa,uchumi kua mbovu,watu kua na uoga,wafanyakazi wa umma kutokufuata sheria za nchi,etc....

Then unaona mtu asie madaraka au capacity yeyote kama Lissu eti anatumika na Mabeberu kuua nchi wakati wenye madaraka wapo maofisini!

Lissu hakua nchini kwa miaka 3 to begin with,kafanya maamuzi gani kuua ustawi wa nchi unaolalamikiwa?
 
Jibu maridhawa ..ufafanuzi maridhawa!!!

Bila shaka majibu haya ndio sahihi kwa watu wasioelewa.
Mistari michache myembamba lkn imesheheni TAARIFA NA MAELEZO SAHIHI.

HONGERA KAKA!!!
 
Ona huyu mbuzi. Nchi haiendeshwi kwa matakwa ya takataka Kama wewe...
 
Wote ni wa kuchinja, hakuna kuchoma maiti zao moto, tunazinywa supu tupate nguvu ya kuendelea kuchinja wengine, mpaka waishe!
Tumeshachoka ushenzi, hawa watu ni wa kuwaangamiza wote, nchi siyo ya mama yao hii, leo hii nikimkuta chatu anameza mwanaccm namsaidia chatu
 
Kwahiyo Magufuli ndiyo atazuia mkoloni kutunyonya ?
 
Wafuasi wa mungujiwe hawana akili bro, hawawezi kuelewa mambo kama hii,
Tuna rais wa ajabu sana, yeye na chama chake kazi kuwajaza propaganda wananchi na wafuasi walivyo wajinga yanaamini kila wanachoambiwa na watawala bila hata kutafakari kwa kina
 
Umejibu vzr mkuu wangu

Japo mimi si muumini wa hao wote Jpm na huyo Lisu

Si muumini wa Demokrasi. Maana ni demokrasia ipi? Nani aliianzisha?

Je Afrika hatuna chetu, hatuna mfumo wa uongozi?
Kwa taarifa tu . Wahaya walianza bunge kabla ya ukoloni
Hata wachaga walikuwa na mfumo mzr wa kuchagua kiongozi na utawala,
Na kabila zingine. Je ni UPUUZI? African system?
Si muumini wa hizo freedom of speech. Japo najua namna ya kimahusiano .i.e niseme nini wakati gani na kwa nani? Ile tune unasema na baba yako si ile uonasema na mpenzi wako. Thats what i know about freedom of speech.
Si muumini wa Human right. Which right. Mungu Pekee ndiye Mwenye Haki.
Uingereza mtoto amepiga risasi baba yake. Watoto hawawezi kuonywa kisa their rights.

Ndio maana nikasema tutazame root ya tatizo.
Issue si Jpm wala Lisu.
Wewe unasema tuanzie ndani baadae nje uko sawa. Lakini za ndani hizi source ni nje.

African wamesaini mamkataba mengi ya kimataifa ambayo ni upuuzi. Lkn ili uikatae inabidi the whole country muwe wamoja. Maana mtanyimwa misaada halafu raia watakupiga mawe mtawala.

Nasema hata aje Gwajima au Mdee wawe rais hakuna kitu labda ajitoe ufahamu na kukataa na nchi itaingia kwenye shida kubwa.

Mimi natamani tunyimwe misaada ila tukatae. Natukatae tu

Asante ni maoni tu.

Tuwe Umoja, Upendo, Tuijenge nchi
 
Ona huyu mbuzi. Nchi haiendeshwi kwa matakwa ya takataka Kama wewe...
Mkuu unapata wapi ujasiri wa kumwita mtu "takataka"?
unaweza kuumba hata kucha ya binadamu achilia mbali viungo vingine ?

Kama umediriki kumwita takataka ukipata upenyo wa kumdhuru huyu mtu utashindwa ?

Jaribu kuwa na utu hata kinafiki.
 
Irrelevant reasoning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…