Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

nifah pitapita na pale azamtv. nasikia msimamizi wa chaneli ya sinema zetu ambayo imepewa jukumu la kuonyesha local tv series, ana michezo kama ya huyo wa dstv.

na yeye ni mwanamama/mwanadada pia. sasa unaambiwa usipotoa kwake ushirikiano wa rushwa , series/movie yako hata iwe bora kiasi gani, haiwezi kukubaliwa kuonyeshwa na azamtv.
 
Hio ndio ya kiafande zaidi unapigwa kilazima,
 
Anaruka Azam TV now,sinema zetu
Tamthilia yake ya Lolita imeshika kasi sana sasahivi.

J3 hadi alhamisi saa1 na nusu jioni.


Jamaa hana kazi mbovu.
Kuna mtitu ambaye naye huwa anaigiza kwenye tamthilia zake na mwingine wa Game first quality ambaye alitoa sana movies.

Kama ni game first nihakikishie, nitafute king'amuzi cha azam chaap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…