Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

Ila Tanzania kwenye rushwa na wizi hatuchekani. Ukiwa muadilifu, deal za ofisi zinakupitia pembeni na unaweza undiwa dengee ili ufukuzwe kama nafasi yako inawaletea watu kikwazo kwenye michakato yao.

Ubaya sasa, kheri uwe muadilifu na mshahara uwe unaeleweka. Ila kwa wengi ndio wale wanaishi maofisini kwa depression, unakomaa na mshahara halafu uliowazidi vyeo wanakuzidi maisha
 
Usiutamani ufahari wa mtu muovu utapotea.
Uaminifu una ujira mkubwa sana.

Wasukuma husema; achekaye wa mwisho hucheka sana
 
Kwahiyo tuhalalishe rushwa?
Nope wala sikubaliani na mambo mengi sana yanayoendelea bali it is what it is.... Sekta zote kuna Umimi na Its not how good your product is bali how good your connections are... Especially kwenye entertainment industry it has always been this way..., Its just the way it is.... Hata redio mbao kama haujatoka bila kuwapa ma-Dj faranga ngoma yako huenda isipigwe... au ukijifanya mjanja unaweza ukawa blacklisted..., huenda ndio maana huyo jamaa kaamua kwanza ajulikane na kazi zake zijulikane ndio kapata nguvu za kubisha
 
Duh rushwa ni mbaya sana
 
Kufanya kazi private sector ni kujitafutia stress hasa kwa watoto wakimasikini huko wanatakiwa watoto wakishua kwasababu wana back up la sivyo pressure na kisukari zitakuondoa mapema.
Sio kweli, tupo sisi watoto wa kimasikini na tunaishi vizuri tu huku makazini kwa uadilifu.

Ukiwa na mambo mengi hata serikani kutakushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…