The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Umenisoma ukaelewa nilichokiandika?ktk bandiko langu wapi nimeonyesha uelekeo wa kutaka rushwa ihalalishwe?Kwahiyo ndio tuhalalishe rushwa kila mahali?
Unajua ni kiasi gani watu wanakwamishwa kwa kushindwa kutoa rushwa?
Mfano hapa kama Isike asingetunza ushahidi tamthilia yake ilikuwa inapigwa chini!
Huyo Isike ana watu wengi nyuma yake, kuanzia washiriki mpaka wafanyakazi wa kawaida wanaotegemea mafanikio ya tamthilia wapate namna za kuendeleza maisha yao!
Nilikuwa namfahamisha mdau aliyeshangaa mtu mdogo kama mkurugenzi wa DStv kupokea rushwa,kingine ujue na ukubali kwamba rushwa ipo utake usitake na usually rushwa inakuwa mbaya ukinyimwa wewe haki ila ikiwa upande wako humkumbuki anayenyimwa haki.