Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

Kwahiyo ndio tuhalalishe rushwa kila mahali?
Unajua ni kiasi gani watu wanakwamishwa kwa kushindwa kutoa rushwa?


Mfano hapa kama Isike asingetunza ushahidi tamthilia yake ilikuwa inapigwa chini!

Huyo Isike ana watu wengi nyuma yake, kuanzia washiriki mpaka wafanyakazi wa kawaida wanaotegemea mafanikio ya tamthilia wapate namna za kuendeleza maisha yao!
Umenisoma ukaelewa nilichokiandika?ktk bandiko langu wapi nimeonyesha uelekeo wa kutaka rushwa ihalalishwe?

Nilikuwa namfahamisha mdau aliyeshangaa mtu mdogo kama mkurugenzi wa DStv kupokea rushwa,kingine ujue na ukubali kwamba rushwa ipo utake usitake na usually rushwa inakuwa mbaya ukinyimwa wewe haki ila ikiwa upande wako humkumbuki anayenyimwa haki.
 
Huko kwenyewe kwenye sanaa kuna rushwa kubwa ya ngono.

Ndio maana wamejazana mabinti,warembo,wenye matako makubwa nk nia wapateplatforms ya kuonekana na madanga.kwa wanaume mashombeshombe,mahb kibao nk,talent hawana ila uzuri ndio uliowapa nafasi. Tena huko kwenye kambi zao wanagongana sana.
Mimi ndio maana huwa siangalii huo ujinga, unaona kabisa mtu hana kipaji ila kuna kilichombeba.

Acha niendelee kuangalia mapanga yangu ya Kikorea.
 
cheque inatolewa ya million 200 ila mpaka inamfikia mwenye tamthilia yake hapo si haba mtu anakunja 50M tu. Aanze kuwagaia wachezaji movie utashangaa kila mtu kapata million 3 tamthilia nzima 🤣🤣🤣
Mil. 3 Bongo hii?

Hata Wema Sepetu hapati hiyo kwenye hayo maigizo yao.

Ngoja nikaulize nikipata data vizuri nitakurudia.
 
Pole best ......

Alikuwa na uandishi wa kipekee sana akiwa anasimulia mastori ya town

Fanya kuuleta huo ubuyu mwezi ujao tukiwa na long holidays
Nimeshapoa.

Huo ubuyu wa moto ni next weekend, wala usijali kabati langu halikaukiwi ubuyu.

Tutakuwa na holidays nzuri, tuombe uzima na kukiombea chanzo changu pia.
 
Kama mshahara wa mkurugenzi dstv hautoshi sisi waalimu wa daraja la iii B vijijini tusemeje
Nahisi haujawahi kutosha hata siku 1, duniani kote, maana kila nasikia lazima mtu uwe side hustles! 😄

Hizo side hustle sasa hapo kila mtu anatafuta/anajiongeza the easiest way kulingana na urefu wa kamba yake, hata km ni riskier! 😄
Ni maoni tu nisipigwe mawe tafadhali!
 
Back
Top Bottom