CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
adriz
kubwa zima unajidhalilisha kwa kuanzisha uzi wa kulialia maisha magumu na kuomba msaada wa ajira halafu leo unajifanya kujitutumua hapa jamiiforums wakati una dhiki, shida, mshamba halafu bonge la mpumbavu
Pole sana
Kumbe ulikuwa hujui kuwa mimi ni mjinga nambari one.
Kiongozi wa wapumbavu wote hapa jamii forum.
Na mimi pia ni zwazwa la.Mazwazwa.
Pole sana kwa kuchelewa kulijua hilo.