Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

adriz
kubwa zima unajidhalilisha kwa kuanzisha uzi wa kulialia maisha magumu na kuomba msaada wa ajira halafu leo unajifanya kujitutumua hapa jamiiforums wakati una dhiki, shida, mshamba halafu bonge la mpumbavu

Pole sana
Kumbe ulikuwa hujui kuwa mimi ni mjinga nambari one.
Kiongozi wa wapumbavu wote hapa jamii forum.

Na mimi pia ni zwazwa la.Mazwazwa.

Pole sana kwa kuchelewa kulijua hilo.
 
Anaye kimbilia kurepot kwa Mods huwa ni wewe Cognizant a.k.a MZURI SANA a.k.a GENTAMYCINE!

Mimi hapa niko full masinondo wewe njoo nikupelekee moto hadi utubu,Ku-report kwa Mods huo ni Ujuha wako ambao Spana huwa zikizidi unaomba Msaada!.

Hapa ni mwendo wa Spana tu hadi utubu,sina muda na Mods kwa maana hii vita yangu na weww haiwahusu!

Haya njoo nakusubiri!

Piga🔨🔧⚒️🔨⚙️🛠️🪛🔩🛠️🛠️🔨🔨🔨🔧
 
hatimaye mbokolewaji kaja / umekuja baada ya kuitwa na mwandamizi wake / wako wa ubokolewaji CAPO DELGADO
 
Pole sana
Kumbe ulikuwa hujui kuwa mimi ni mjinga nambari one.
Kiongozi wa wapumbavu wote hapa jamii forum.

Na mimi pia ni zwazwa la.Mazwazwa.

Pole sana kwa kuchelewa kulijua hilo.
nikikutafutia ajira ya kukandwa si nitakuwa nimekusaidia sana hitaji lako kuu la kusaka ajira kama ulivyojitangaza kule katika ule uzi wako ambao mbabe wako adriz ameufufua?
 
Nachoshangaa ni user is banned cannot reply this thread ila ana reply 😅😅 mtoa thead yuko banned ila anapost
 
Kitu ambacho nimeki observe leo nimegundua jamaa anachukiwa sana hapa jukwaani. Ila yeye mala nyingi amekuwa anajiona anapendwa mno.

Sikujui anachukiwa kwasababu gani??????????

Tambo zake.
Uandishi.
Content za uandishi wake.
Matusi na lugha za kuudhi ama ni kitu gani?????.

Naomba wadau tumuweke wazi tumwambie Ukwelkindugu yetu anapo kosea...

Watu wamepokea Ban yake very positive.
Atakayeweza kumpunguza mahips Makonda na kumfanya aache ujuwaji basi hata huyu Genta atamuweza.
 
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club.

Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner na kitakuwa kinaenda Hewani ndani ya Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters ambacho ndicho Kipindi Bora cha Michezo kwa sasa Tanzania.

Haya GENTAMYCINE nawashauri wale Wengine ( Wasiojua Kigamboni Wavuvi FC ) nao wamuombe Rafiki yao Diamond Platinumz amwambie Mtu Wao Mtangazaj Maulid Kitenge na Wao wawe na Kipindi cha Kuwaongelea karika Redio yenye Ukigamboni Ukigamboni mtupu ya Wasafi FM ila kule EFM ni Kwetu Sisi wana Simba SC tu sawa?

Safi sana EFM Radio na Boss Mwana Simba SC Mwenzangu Majizzo. Hapa Umewanyoosha na Wataumia ile mbaya Kudadadeki zao.
Hapa zaidi kujitafutia kuzorota na kuchukiwa na mashabiki wa upande wa pili na wapenda haki hakuna kingine . Media zinatakiwa kubalance habari
 
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club.

Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner na kitakuwa kinaenda Hewani ndani ya Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters ambacho ndicho Kipindi Bora cha Michezo kwa sasa Tanzania.

Haya GENTAMYCINE nawashauri wale Wengine ( Wasiojua Kigamboni Wavuvi FC ) nao wamuombe Rafiki yao Diamond Platinumz amwambie Mtu Wao Mtangazaj Maulid Kitenge na Wao wawe na Kipindi cha Kuwaongelea karika Redio yenye Ukigamboni Ukigamboni mtupu ya Wasafi FM ila kule EFM ni Kwetu Sisi wana Simba SC tu sawa?

Safi sana EFM Radio na Boss Mwana Simba SC Mwenzangu Majizzo. Hapa Umewanyoosha na Wataumia ile mbaya Kudadadeki zao.
9
 
Back
Top Bottom