Kumekucha Jangwani, Lomalisa apeleka Ombi la Kuvunja Mkataba

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
[emoji599] EXCL: Mabosi wa Yanga wamepigwa na butwaa, baada ya beki Joyce Lomalisa [emoji1078] kupeleka maombi ya kuvunja mkataba. Inaelezwa mezani kwa Lomalisa kuna ofa kubwa ikiwamo ya Azam FC, lakini pia ofa kutoka Morocco klabu ya RS Berkane.

1686855825636.jpg
 
Kama viongozi wetu hawakutegemea hili watakua wapumbavu sana, club kufika pale wachezaji wengi wameonekana na watapewa ofa nyingi mezani, na mpira ni pesa, wengi huku umri umeenda Cha msingi mchezaji anataka avune kingi kabla hajastaafu, hata akijifanya siku akiachana na yanga hatakuja jangwani kuomba ugali wa watoto wake

Cha msingi kama ofa zinalipa wavute mkwanja waingie sokoni kununua wachezaji Bora pia, maana tumetengeneza profile Kuna wachezaji wataona farahi pia kujiunga na sisi

Maisha yaendelee
 
Hao wakongo wote wa mkopo. Mawakala wao wanasikilizia, thamani yao ikipanda tu wanawachomoa.
 
Back
Top Bottom