Kumekucha Jangwani, Lomalisa apeleka Ombi la Kuvunja Mkataba

Kama viongozi wetu hawakutegemea hili watakua wapumbavu sana, club kufika pale wachezaji wengi wameonekana na watapewa ofa nyingi mezani, na mpira ni pesa, wengi huku umri umeenda Cha msingi mchezaji anataka avune kingi kabla hajastaafu, hata akijifanya siku akiachana na yanga hatakuja jangwani kuomba ugali wa watoto wake


Cha msingi kama ofa zinalipa wavute mkwanja waingie sokoni kununua wachezaji Bora pia, maana tumetengeneza profile Kuna wachezaji wataona farahi pia kujiunga na sisi

Maisha yaendelee
 
Hao wakongo wote wa mkopo. Mawakala wao wanasikilizia, thamani yao ikipanda tu wanawachomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…