Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa

Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa

Mi sijui kwanini naona lile lilikuwa kosa la kawaida na linawatokea wengi kilichonishangaza ni kwamba refa kaongeza dk 6 ila zimeisha game ikaendelea ila kolo alivosawazisha tu hapo hapo refa akamaliza mpira. Mi kwangu hiki ndo kilinishangaza.
Shida iko wapi!

Kama tulimuahidi kumpa milioni 5 kati ya milioni 100 tunayoifukuzia ulitegemea afanye nini?
 
Hii makosa ya marefa huwa ni makubwa Sana sijui kwann huwa hayapewi uzito unaostahili. Hivi kweli kamati inaweza ikasema uzito WA Kosa alilofanya hautoshi kumpa adhabu? Hivi wanajua kama Hilo Kosa ndio limesababisha Singida kutolewa? Unasemaje Kosa halina uzito?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii timu isingekuwa inabebwa na waamuzi vilaza, Bodi ya ligi na TFF ya Karia, mpaka muda huu ingekuwa inacheza ligi daraja la kwanza huko.
Km ambavyo Yanga imefurushwa na APR

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga huwa wansjiamisha vitu vya kijinga na kuving'ang'ania mfano kuna mwaka walikuwa wakidanganyana kuwa CAS itawanyang'anya ushindi Simba na kuwapa wao.
Hapana mkuu....kamati ndio imetoa taarifa kuwa Simba walibebwa
1704982251294.jpg
 
waipeleke singida fainali ili tuamini kuwa wamekiri kosa!!. Kupiga meneno matupu bila vitendo haisaidii kuleta amani moyoni. Hamjamtendea haki singida.......
 
waipeleke singida fainali ili tuamini kuwa wamekiri kosa!!. Kupiga meneno matupu bila vitendo haisaidii kuleta amani moyoni. Hamjamtendea haki singida.......
At least kidgo wamekiri kuliko wangekaa kimya

Now makolo mashavu yamewashuka wanaona aibu[emoji23]
 
Yanga huwa wansjiamisha vitu vya kijinga na kuving'ang'ania mfano kuna mwaka walikuwa wakidanganyana kuwa CAS itawanyang'anya ushindi Simba na kuwapa wao.
Hao ni wazee wa propaganda. Ukiingia anga zao hauchomoki. Walijiaminisha na kuaminisha watu wana benchi bora la wachezaji wa akiba na kwamba Simba wana timu mbovu, Mapinduzi imekuja kuwaumbua hadi wameficha wachezaji. Simba imetumia Mapinduzi kuwaibua kina Mwenda, Kazi, Abdallah, Abel na pia kumfufua Miq.

Ukiwajua Yanga wala hawatakupa presha
 
Hii timu isingekuwa inabebwa na waamuzi vilaza, Bodi ya ligi na TFF ya Karia, mpaka muda huu ingekuwa inacheza ligi daraja la kwanza huko.
Haina tofauti na Lalamishi FC, ingeshafutika tu hapa TZ.
Yaani mpira umeingia nyavuni marefa wanakataa wanaamuru ipigwe kona.
Refa naye Ni binadamu. Hakuna haja ya kurefusha mjadala.
 
Hao ni wazee wa propaganda. Ukiingia anga zao hauchomoki. Walijiaminisha na kuaminisha watu wana benchi bora la wachezaji wa akiba na kwamba Simba wana timu mbovu, Mapinduzi imekuja kuwaumbua hadi wameficha wachezaji. Simba imetumia Mapinduzi kuwaibua kina Mwenda, Kazi, Abdallah, Abel na pia kumfufua Miq.

Ukiwajua Yanga wala hawatakupa presha
Nadhani mwenyewe umeona Yanga kapeleka kikosi c na d kule mapinduzi

Inshort APR walipiga bomu mochwari [emoji23]
 
Back
Top Bottom