Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Wazee ni hazina ya timu yetu ya SimbaUsisahau pia ...tumechezesha wazee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee ni hazina ya timu yetu ya SimbaUsisahau pia ...tumechezesha wazee
Shida iko wapi!Mi sijui kwanini naona lile lilikuwa kosa la kawaida na linawatokea wengi kilichonishangaza ni kwamba refa kaongeza dk 6 ila zimeisha game ikaendelea ila kolo alivosawazisha tu hapo hapo refa akamaliza mpira. Mi kwangu hiki ndo kilinishangaza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww unawehuka siku si nyingi..wenzio Uto wamekuachia mikoba hiyoo hangaika nayo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii makosa ya marefa huwa ni makubwa Sana sijui kwann huwa hayapewi uzito unaostahili. Hivi kweli kamati inaweza ikasema uzito WA Kosa alilofanya hautoshi kumpa adhabu? Hivi wanajua kama Hilo Kosa ndio limesababisha Singida kutolewa? Unasemaje Kosa halina uzito?
Km ambavyo Yanga imefurushwa na APRHii timu isingekuwa inabebwa na waamuzi vilaza, Bodi ya ligi na TFF ya Karia, mpaka muda huu ingekuwa inacheza ligi daraja la kwanza huko.
Inaumiza mno.Yeah lazima tukemee mbeleko
Ni kama goli lililokataliwa na badala yake ikapugwa kona. Ni makosa ya kibinadamu tu.
At least kidgo wamekiri kuliko wangekaa kimyawaipeleke singida fainali ili tuamini kuwa wamekiri kosa!!. Kupiga meneno matupu bila vitendo haisaidii kuleta amani moyoni. Hamjamtendea haki singida.......
Hao ni wazee wa propaganda. Ukiingia anga zao hauchomoki. Walijiaminisha na kuaminisha watu wana benchi bora la wachezaji wa akiba na kwamba Simba wana timu mbovu, Mapinduzi imekuja kuwaumbua hadi wameficha wachezaji. Simba imetumia Mapinduzi kuwaibua kina Mwenda, Kazi, Abdallah, Abel na pia kumfufua Miq.Yanga huwa wansjiamisha vitu vya kijinga na kuving'ang'ania mfano kuna mwaka walikuwa wakidanganyana kuwa CAS itawanyang'anya ushindi Simba na kuwapa wao.
Ndio maana APR amesema hawatashiriki tena yaani wameitoa yanga refa amegomea goli na mlandege watu wapo kimyaa!
Haina tofauti na Lalamishi FC, ingeshafutika tu hapa TZ.Hii timu isingekuwa inabebwa na waamuzi vilaza, Bodi ya ligi na TFF ya Karia, mpaka muda huu ingekuwa inacheza ligi daraja la kwanza huko.
Nadhani mwenyewe umeona Yanga kapeleka kikosi c na d kule mapinduziHao ni wazee wa propaganda. Ukiingia anga zao hauchomoki. Walijiaminisha na kuaminisha watu wana benchi bora la wachezaji wa akiba na kwamba Simba wana timu mbovu, Mapinduzi imekuja kuwaumbua hadi wameficha wachezaji. Simba imetumia Mapinduzi kuwaibua kina Mwenda, Kazi, Abdallah, Abel na pia kumfufua Miq.
Ukiwajua Yanga wala hawatakupa presha
Umenena. Hii imeenda.Yagangwe yajayo...
Nadhani mwenyewe umeona Yanga kapeleka kikosi c na d kule mapinduzi
Inshort APR walipiga bomu mochwari [emoji23]