Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

Halmashauri Kuu Ya Ccm Imeukubali Mkataba
DP W Hofu Yao Nini Mpaka Watume Watu Wao Kuja Kuuliza
Wanatuvuruga Sana Hawa, Hawanata Kula Haram Sasa Wanaihalarisha Kwa Ujanjaujanja.
 
Hiyo kazi ya kuongea na makundi yote hayo wataifanya vipi sirini kwenye jambo lenye maslahi kwa taifa? na kama wakiigeuza hiyo kazi ifanywe sirini, kama ambavyo walisaini ule mkataba wa hovyo sirini, basi sioni la maana litakalofanyika.

Tusidanganyane, kwenye hili la mkataba wa hovyo wa bandari anayebeba dhamana yetu ni Samia aliyetusaliti, mpaka pale atakapokiri kosa, akubali kurekebisha, hapo ndipo tutakuwa na matumaini na mwelekeo.

Lakini kutegemea kupata matumaini hayo kutoka kwa waarabu wafanyabiashara waliokuja kufanya biashara kwetu, wakafaidi kwa ujinga wa viongozi wetu, ili wapate faida, kunatuonesha vile tulivyokata tamaa, tusiokuwa na mwelekeo tena kama taifa, kwasababu ya kuwa na kiongozi mkuu asiyejielewa.
 
Weka chanzo cha habari, otherwise ni trash tu
 
Kumbe mda wa kuingia mkataba Bado Sasa makelele ya upotoshaji ya nini?
 
we
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe? Eti tetesi, huna hata haya na mauzushi yako haya?
 
"HAITENGEMAI ile jamii ambayo jambo lao la juu kabisa la uongozi wamemwachia mwanamke".

Haya ni maandiko matakatifu ya Manabii
Lakini Golda Meir (Israel) na Magreth Thatcher (Uingereza) waliweza vema kabisa tena kwenye nchi kubwa. Au unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…