Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

Nakupa pole mkuu Jecha ni part of the cartel, unaitwa ukoo wa panya!! wako kina Jecha lukuki wanampokea kijiti tu akili yako umeiacha wapi ndugu hapa sio Malawi! zidumu fikra za Mwalimu!!
Sidhani kama ACT Wazalendo watakubaliana na uharamia mlioifanyia CUF.Safari hii wamekuja wa kama noma na iwe noma,CCM ijipange kisawa sawa kuiba/kugeuza meza kwa msaada wa Jecha.
Wakiwa na akili wampe kugombea Urais hiyo Jecha waone jinsi demokrasia ilivyo ghali,once spoiled.Watajibeba!!!
 
Umesema kwelii Mkuu, wanaopaswa kufanya mikutano Ni maccm tu.Siro atatuma vijana wazunguke hotel I nzima.kule geita chato yule mama ngangari anayetaka kugombea ubunge kupitia chadema anakamatwa na polis kila Siku, hakuna kosa LA maana Bali kosa kuenza chadema chato.mapolis wetu wanafanya mambo ya ajabu hatari
 

Naipenda chadema na ACT wazalendo. Chadema msikubali huu upuuzi wa kuonewa kila mara na mapolisi . wanaume wa chademe mnashindwa na wanawake yakhe. Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…