Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

Nakupa pole mkuu Jecha ni part of the cartel, unaitwa ukoo wa panya!! wako kina Jecha lukuki wanampokea kijiti tu akili yako umeiacha wapi ndugu hapa sio Malawi! zidumu fikra za Mwalimu!!
Sidhani kama ACT Wazalendo watakubaliana na uharamia mlioifanyia CUF.Safari hii wamekuja wa kama noma na iwe noma,CCM ijipange kisawa sawa kuiba/kugeuza meza kwa msaada wa Jecha.
Wakiwa na akili wampe kugombea Urais hiyo Jecha waone jinsi demokrasia ilivyo ghali,once spoiled.Watajibeba!!!
 
unaamsha popo mkuu! yatakiwa kwanza watu waende zenj, wajae ukumbini kisha dakika ya kwanza tu Maalim kuongea defender ifike na kumpiga Maalim Tanganyika jeki manake nasikia kapanga kuongea maneno mazito ya uchochezi na kugawa watu hasa ishu yao ya Zana za Kilimo ( ZZK) kutiwa mbaroni Kilwa eti ACT wanadai kaonewa hawakubali liwalo na liwe!!

nasikia ule mkutano una kibali feki na umekaa kishari shari na hauna nia njema! nasikia lengo la Maalim ni kupandikiza chuki wazenj waichukie serikali yao na wafanye fujo kwenye uchaguzi kwakuwa wanajua refa mkali Jecha hayuko job!! karudia kusema ‘kama noma na iwe noma maneno gani haya kwa mtu mzee kama yeye??

Zenj inafaa iachwe patulie si kuanza amsha amsha!! wapemba wakianzisha fujo na mauaji yakitokea mchumia tumbo Maalim huwa anajificha!!

hotel bab kubwa meneja wa hotel ameamua kuiharibia jina lake bure tu manake mabuti na virungu na ving’ora vikianza kulia Verde wageni watakimbia kila kona na wengine watadundwa mabuti hayana macho na wageni wengine wakisikia na kuona video ya kichapo online hawaji Verde ng’o! muda ni huu hotel kufuta haraka huo mkutano majuto ni mjukuu brand yao yote itaporomoka wakimpa Maalim nafasi ni mharibifu tu yule!!
Umesema kwelii Mkuu, wanaopaswa kufanya mikutano Ni maccm tu.Siro atatuma vijana wazunguke hotel I nzima.kule geita chato yule mama ngangari anayetaka kugombea ubunge kupitia chadema anakamatwa na polis kila Siku, hakuna kosa LA maana Bali kosa kuenza chadema chato.mapolis wetu wanafanya mambo ya ajabu hatari
 
Naipenda chadema na ACT wazalendo. Chadema msikubali huu upuuzi wa kuonewa kila mara na mapolisi . wanaume wa chademe mnashindwa na wanawake yakhe. Aibu.
 
Back
Top Bottom