Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Ajavunja SheriaHuyu mzee kila awamu anagombea yeye tu ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajavunja SheriaHuyu mzee kila awamu anagombea yeye tu ,
Why?Safari hii watu watakufa kuliko 2001.
Nzi wa Kijani washapagawa.
Sory mkuu nchi ipi tena hiyo
Sidhani kama ACT Wazalendo watakubaliana na uharamia mlioifanyia CUF.Safari hii wamekuja wa kama noma na iwe noma,CCM ijipange kisawa sawa kuiba/kugeuza meza kwa msaada wa Jecha.Nakupa pole mkuu Jecha ni part of the cartel, unaitwa ukoo wa panya!! wako kina Jecha lukuki wanampokea kijiti tu akili yako umeiacha wapi ndugu hapa sio Malawi! zidumu fikra za Mwalimu!!
ndo maana huku Lumumba comrade slow-slow tangu asubuhi anatembea humu koridoni ni kama pichu imebana korodani vile!
Umesema kwelii Mkuu, wanaopaswa kufanya mikutano Ni maccm tu.Siro atatuma vijana wazunguke hotel I nzima.kule geita chato yule mama ngangari anayetaka kugombea ubunge kupitia chadema anakamatwa na polis kila Siku, hakuna kosa LA maana Bali kosa kuenza chadema chato.mapolis wetu wanafanya mambo ya ajabu hatariunaamsha popo mkuu! yatakiwa kwanza watu waende zenj, wajae ukumbini kisha dakika ya kwanza tu Maalim kuongea defender ifike na kumpiga Maalim Tanganyika jeki manake nasikia kapanga kuongea maneno mazito ya uchochezi na kugawa watu hasa ishu yao ya Zana za Kilimo ( ZZK) kutiwa mbaroni Kilwa eti ACT wanadai kaonewa hawakubali liwalo na liwe!!
nasikia ule mkutano una kibali feki na umekaa kishari shari na hauna nia njema! nasikia lengo la Maalim ni kupandikiza chuki wazenj waichukie serikali yao na wafanye fujo kwenye uchaguzi kwakuwa wanajua refa mkali Jecha hayuko job!! karudia kusema ‘kama noma na iwe noma maneno gani haya kwa mtu mzee kama yeye??
Zenj inafaa iachwe patulie si kuanza amsha amsha!! wapemba wakianzisha fujo na mauaji yakitokea mchumia tumbo Maalim huwa anajificha!!
hotel bab kubwa meneja wa hotel ameamua kuiharibia jina lake bure tu manake mabuti na virungu na ving’ora vikianza kulia Verde wageni watakimbia kila kona na wengine watadundwa mabuti hayana macho na wageni wengine wakisikia na kuona video ya kichapo online hawaji Verde ng’o! muda ni huu hotel kufuta haraka huo mkutano majuto ni mjukuu brand yao yote itaporomoka wakimpa Maalim nafasi ni mharibifu tu yule!!
St Peter wapo kazini km kwenye nafsi yko una Amin Maalim Kweli anataka mabadiliko znz basi bado tunasafari ndefu sna ila Maalim kwangu ni St Peter na Tumbo lake kwanza...
Kwa bahati mbaya ile sio hoteli ya kitanganyika, hapauzwi ulevi paleasije akalewa uko hotelini, akatengua mguu kama Mbowe
Seif akikosa urais awamu hii namshauri apumzike siasa tuu
Sasa mbona tangazo halitaji nchi kutukisika ili watu wachukue tahadhari mapema vyombo vyao visije vikavunjika?
Hotel Verde hawauzi pombe kama zile hotel zinazomilikiwa na Wagalatia, hii ni ya mzee Bakhresa ambaye hataki hata kutangaza pombe kwenye media yake.asije akalewa uko hotelini, akatengua mguu kama Mbowe
Safi sana maalim. Wape darasa hao madhalim wa CCM. wakome.
😆😆😆 Karibu sana mkuuSafi sana maalim. Wape darasa hao madhalim wa CCM. wakome.
Karibu sana kamandaSasa mbona tangazo halitaji nchi kutukisika ili watu wachukue tahadhari mapema vyombo vyao visije vikavunjika?
Umesema kwelii Mkuu, wanaopaswa kufanya mikutano Ni maccm tu.Siro atatuma vijana wazunguke hotel I nzima.kule geita chato yule mama ngangari anayetaka kugombea ubunge kupitia chadema anakamatwa na polis kila Siku, hakuna kosa LA maana Bali kosa kuenza chadema chato.mapolis wetu wanafanya mambo ya ajabu hatari
Sitaki.Karibu sana kamanda