Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

- He! he! yaani this is incredible kumbe walikuwa hawajataja? Mbona tuliambiwa wameshawataja siku nyingi? ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz

.......Naomba kuuliza, eti hivi na wewe huuzi unga? Maana watoto wa wenzie na Mzee Samwel wengi wanapiga deal
 
Halafu Kinje akikamatwa na kupewa mateso makali naye atawataja akina Rizione.....patamu hapo, list ya watoto wa vigogo ndefuuu
 
Nashindwa kusema lolote kwani mawazo yangu mengi yameishia hewani!!!!
 
Kila m2 anapiga kelele kwanin wastajwe...!
Hv watatajwa wangap kwa fikra zenu!,c nusu na robo ya viongoz wa "sirikali" wanahucka...!,iwe wao ama watoto au ndugu zao.
Kwa hyo hakuna kutajana kuna ku2funga midomo..!!!
KUUA TUUE SIE TU....WAKIUA KINA DITO HAWAKUKUSUDIA
au mmesahau?
 
Kinje ni rafiki mkubwa wa Ruge wa clouds media
obviously watakuwa wanashirikiana
serikali hii ya kinafiki haitafanya chochote
zaidi wanajidai eti wanataka kuanzisha mahakama maalumu ya kushughulikia kesi za madawa ya kulevya
ni unafiki
 
watajwe tu hao vigogo... sasa mnaficha nini! sisi tuwafahamu tu na uchunguzi wa huyu bwana Nzowa uachwe tu kwani sielewi anachunguza nini yeye! angechunguza kabla madawa hayaja vuka tz....
 
Kama mambo yenyewe ndo yalivyo basi,sasa naanza kuamini kwamba Riz Moko atakuwa ktk genge hilo.Ujinga wa hawa watoo wa mama bhana ni kushindana nani ni zaidi ya mwenzie sasa hapo Mkulu angewezaje kutaja watoto wa wenzie?mtoto wa mwenzio ni wako pia!!
 
Masogange huwa anarubudisha na yale mauno, sasa wa-sauzi si watajisuzia tu.
 
Kwa mzigo mkubwa namna hiyo hawa unaowtaja watakuwa contact persons tu. Wana facilitate mzigo kupita na wao wapate chao.
I've been meaning 2 say the same thing! ... thanks! we're talkin billions of shillings. Mkhulu could be involved, hypothetically
 
Halafu Kinje akikamatwa na kupewa mateso makali naye atawataja akina Rizione.....patamu hapo, list ya watoto wa vigogo ndefuuu

hawawezi kukamatwa hao, labda CCM iondoke madarakani.
 
Haya ni miongoni mwa mambo ambayo yanaifanya serikali ya CCM ipigane kufa kupona hata kumwaga damu za watanzania ila wadumu madarakani maana wanajua pindi kikiingia chama makini (nahisi mnakijua) mambo ya kuleana na kulindana hakuna na siri zote zitaanikwa mchana wa jua kali na wahusika wote watavutwa kwa pilato bila kujali cheo au sura,, CCM wanajua katiba safi itawaondoa madarakani ndio maana wameanza vurugu kuihujumu,,,!!
 
Masogange huwa anarubudisha na yale mauno, sasa wa-sauzi si watajisuzia tu.
Mada husika ni madawa ya kulevya ambayo yameitia nchi yetu aibu kubwa na ushiriki wa watoto wa vigogo na vigogo.,wewe unazungumzia ngono? Mizaha mizaha hii ndio inasababisha biashara hii haramu haikomi na mambo mengi tuu yana kwenda hovyo hovyo kwa sababu ya watu wenye mizaha kama yako!Kama una interest ya ngono hapa sio mahali pake hapa tunategemea mchango wako namna ya ku combat hili tatizo, this is home of great thinkers si mahali pa kuonyesha hisia za ngono. Kama huna mchango soma ya wengine ni hekima pia.
 
Back
Top Bottom