Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Mafian fish itafungwa! Huwa wana maringo sana, kumbe wanawageuza wenzao mapunda!
 
asante kwa ufafanuzi..mtoto mhuni wa mzee kimbau wa victoria tunayemjua ni omary...tundu toka utoto wake
si ndio kazaa na verna kwa sasa?? Yule dada naye pale hatoki, akale vumbi kwao kinondoni?? Aache maronyaronya ya pale??
 
Masogange waachiwe huru. Hawana hatia katika hili. Watakuwa wamewaonea kama wakiwahukumu. Hii nchi kila kitu RUKSA. Wakubwa huwa hawaguswi kamwe! Pambafuuu!
 
Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).

Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.

Huyu jamaa alishapiga mtu risasi na kuua lakini akaja kuachiwa huru! Kuwa mtoto wa "mkubwa" Tanzania ni raha sana! Shomari Kimbau alishadakwa Zimbabwe na unga!
 
Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).

Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.

shomi kimbau mbona naskia ashakamatwa,ila nae ni punda tu boss wake ni Aurora
 
mateso wanavyofanya ni kwamba, kama wewe ni mwanamke, huwa wanabana kin.embe, yaani ile crit wakiibana na banio za chuma, nasikia zinauma ajabu hadi utajojoa. kwa wanawake tuambieni, ukibanwa crit na banio za chuma utajisikiaje? waanaume huwa wanabanwa p.umbu. na wengine huingizwa chupa 0713 kwasababu ukiingizwa kule, hata siku ukija kusema uliteswa ushahidi wake ni mdogo kwani mikwaruzo ya huko utamwonyesha doctor? si atasema iyo mikwaruzo ni kiny.esi kigumu tu...hahaha

kuna jamaa yangu mmoja alikamatwa, anavyosimulia, wale polisi walimwambia kuwa usiposema tunaenda kukutafuna tigo. wakampitisha kwenye duka moja na gari yao wanapoelekea kutafuta watuhumiwa wengine, wakaomba kwa mwenye duka kama anauza condom, akaona wanaomba pia losheni mafuta...hahaha, wakanunua wakaingia navyo kwenye gari ya tintedi wakaendelea. anasema walipokaribia kufika walikokuwa wanaelekea, alijikuta anatoa machozi na kutaja kila kitu, anawaonyesha na washikaji zake na alieleza stori zote. wakamwacha, kumbe ilikuwa mbinu tu ya kumtisha, pamoja na kwamba kweli ukifanya mchezo, wanaweza kukula tigo wakakupiga risasi ukafie huko.

Jamii forum bana wana lugha zao aisee hiyo code nomaaaa
 
uandishi wa kidaku kabisa. wako wapi waliotajwa. ni bora habari za namna hii zibaki kwenye magazeti ya shigongo.
 
Wabanwe hadi wawaseme na wauseme mtandao wao wote
 
Naanza ku connect dots. Inawezekana kabisa kuwa shomari kimbau ndio aliyembebesha mzigo mmbwana matumla ambae kakamatwa huko hispania.

he!kumbe Mbwana kakamatwa?tobaaa!kweli niko bize hata hili limenipita?kha!makubwa!
 
Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).

Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.

Manshirooo nimeipenda hiiii, eti jina kapuni?
 
Back
Top Bottom