Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rissik Street, Coarse Street - Braamfontein, Park Station, Hillbrow, Mandela Bridge ni maeneo ambayo muda wowote unaweza kunigwa.
Kuna studio moja ya wabongo ipo Braamfontein ina vijana lundo, halafu ukienda kuwasalimia kama Mtz mwenzio wanakuwa na hofu sana, nadhani unga unaweza kuwa unawahusu.
Na Mwandishi Wetu
"Gazeti hili lilipozungumza na Kamanda wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya, Godfrey Nzowa, alikiri kupewa majina hayo lakini akaliomba gazeti hili kutoyachapisha kwa sasa kuepuka kuvuruga ushahidi"
Wanajukwaa mi yote hayo sifikirii, kinachonisumbua ni jinsi yule msichana nkivyokuwa namuwaza siku moja nije muonja. Aisee kafungasha balaa sijali hata kama alikuwa na tabia mbaya au nzuri, NISINGEMCHOKA
Huo ushahidi uliopo ni upi, upo wapi, na nani anao?
Ushahidi, ushahidi, ushahidi....upo wapi kuthibitisha haya unayoyasema?
Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).
Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.
Inasaidia sana tu. We unadhani mtu akijua kuwa kuna kitanzi atakubali kirahisi kuwa punda????Mimi ninachoona hapo hata wakipewa adhabu ya kufa hao sio kwamba tatizo litakuwa limeisha, hivyo ni viji tawi tu, matawi makubwa na mashina yake hayaguswi sasa basi tutafute shina na si kwamba hayajulikani lahasha yanajulikana lakini nani wa kumvisha paka kengele, Tanzania hakuna shamba la unga lakini ndio wasambazaji wakubwa waunga je unatoka wap? Juzi juzi kakamata mchina mchana kweupe na mbeg mzima, jana tena yule Dada hapo hapo hamuoni km kuna chanzo? Na kwa nini wanakamatwa lakini bado wanapita? Inamaana wanaopita ni wengi kuliko wanaokamatwa!
Wito wangu kwa serikali isifanye masihala na swala hiki na wala wasidhani watakuwa kwenye hizo nafasi milele, km unachekelea kudhulika au kunyanyasika kwa mwenzako kesho itakuwa kwako.
Naamini km serikali ikiamua haishindwi. Ila kwa sasa imeamua kutishindana na wauza unga.
Kinje katajwa, wala sio siri
Fineassgirl
Nikumbushe nini zaid?? Ama unataka kujua kisa chenyewe??
Basi iko hivi Samwel Sitta mkewe mkubwa aliitwa Valeria ni marehem kwa sasa, huyu ni mtoto wa dada yake na Kingunge kabisa huyu bibi aliitwa Mama Mbonde(Lydia) manake aliolewaga na mzee Mbonde naye alifariki miaka kama miwili imepita huyu dada yake Kingunge. NOte: Mama Mbonde huyu sina maana ya Rose Mbonde ingawa ni mtu na mkwewe.
sasa mtoto wa mama Mbonde(Lydia) mkubwa alikuwa ni huyu marehem Valeria na ndiye aliyeolewaga na Sitta kama mke mkubwa na alizaa mtoto mmoja tu kabla ya kutalikiana na Samweli. Huyu kijana aliish sana na akina Kinje utotoni na ndipo alipojifunza kula madawa ya kulevya na mpaka leo ni taahira yaani haeleweki mpaka leo.
Kundi lao lina watu wawili yeye Kinje na Shomari Kimbau, yeye Shomari anajidai kufadhili ngumi kumbe anawapa na mzigo wapeleke mbele huko. ni mshenzi wa tabia huyu.
USINIULIZE SANA MSWALI MENGI MANAKE HII LIST INA WATU WENGI SANA AMBAO WANAJULIKANA.
ndiye huyo huyo tulizoea kumwita Shomari ila anajiita Omari