Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

mateso wanavyofanya ni kwamba, kama wewe ni mwanamke, huwa wanabana kin.embe, yaani ile crit wakiibana na banio za chuma, nasikia zinauma ajabu hadi utajojoa. kwa wanawake tuambieni, ukibanwa crit na banio za chuma utajisikiaje? waanaume huwa wanabanwa p.umbu. na wengine huingizwa chupa 0713 kwasababu ukiingizwa kule, hata siku ukija kusema uliteswa ushahidi wake ni mdogo kwani mikwaruzo ya huko utamwonyesha doctor? si atasema iyo mikwaruzo ni kiny.esi kigumu tu...hahahakuna jamaa yangu mmoja alikamatwa, anavyosimulia, wale polisi walimwambia kuwa usiposema tunaenda kukutafuna tigo. wakampitisha kwenye duka moja na gari yao wanapoelekea kutafuta watuhumiwa wengine, wakaomba kwa mwenye duka kama anauza condom, akaona wanaomba pia losheni mafuta...hahaha.
Mswalie mtume/yesu kaka
 
Hapa ni street justice tu ndio inaweza kukomesha hawa mafia...

Maana kama ni kwa mahakama lazima washinde kwa kuwa wako smart; mapunda hawawezi kuwa link dealers....hapa ni kuchukua mawe tu mitaani Baaasi....

maana watoto wetu na ndugu zetu wanaangamia
 
Na Mwandishi Wetu
IMEVUJA! Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange' na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya
kupandishwa kizimbani kwa msala wa dawa za kulevya ‘unga' Afrika Kusini waliingizwa kwenye chumba cha mateso kwa saa 24 ili kutaja waliowatuma.

Habari kutoka kwa chanzo chetu kilichopo jijini Johannesburg nchini humo zilidai kuwa baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo, walipelekwa polisi ambapo walichukuliwa maelezo.

Ilielezwa kuwa mwanzoni waligoma kueleza mzigo huo wa kilo 150 wa unga ulikuwa wa nani hivyo ikabidi polisi wa upelelezi watafute njia nyingine ya kuwalainisha kwa kuwabembeleza kuwa wakieleza ukweli wataachiwa.


MATESO SAA 24
Chanzo hicho kilisema kuwa baada ya mbinu hiyo kushindikana ndipo wawili hao wakaingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ikiaminika kuwa watasema aliyewatuma.

USHUHUDA
"Unajua Sauzi (Afrika Kusini) huwa hawana utani na ishu za madawa ya kulevya. Jamaa (polisi) wana kila aina ya mbinu ya kumfanya mtu aeleze ukweli.

"Katika kutesa unaweza kuingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ambayo nayo huwa yana steji zake.

"Kwanza utaanzia kwenye chumba kilichojazwa siafu wakubwa na huko unaweza usijue kuwa kuna siafu zaidi ya kuona kitu kama red carpet (zuria jekundu) kuanzia sakafuni, ukutani hadi kwenye dari, kumbe wale wote ni siafu.

"Wakishakuingiza mle ndipo utashangaa wale siafu wanacharuka na kuanza kukung'ata mwili mzima, zoezi hilo hufanyika kwa saa 24. Lazima useme ukweli.

"Kama bado ukijifanya mbishi au nunda ndipo unapelekwa hatua nyingine ya kulazimishwa kujisaidia haja ndogo kwenye waya wa umeme.

"Si unajua tena waya wenye umeme na maji vikikutana nini kinatokea? Lazima itatokea shoti ya kutisha kwani ule waya hufuata sehemu yale maji yanapotokea.

"Kinachofuata ni mtu kupigwa shoti kali ya umeme ambapo lazima utasema tu.

"Hicho ndicho kilichowapata akina Masogange kama wanavyofanyiwa Wabongo wengine wanaokamatwa Mitaa ya Rissik hapa Johannesburg.

WALIOWATUMA
"Baada ya mateso hayo, waliwataja waliowatuma mzigo huo wa unga aina ya crystal methamphetamine wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8," kilisema chanzo hicho ambacho ni Mbongo ambaye kwa sasa ni mkazi wa Mtaa wa Rissik, Johannesburg, wanapoishi Wabongo kwa kuungaunga aliyewahi kukumbwa na mkasa kama huo.

MTOTO WA KIGOGO ATAJWA
Habari za ndani zilidai kuwa baada ya kupitia mateso hayo, mabinti hao waliwataja watu wawili waliowatuma kusafirisha mzigo huo, mmoja akiwa ni mtoto wa kigogo ambaye ni mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania (jina lipo).

Ilidaiwa kuwa mtoto huyo wa mkubwa ni mjanja wa mjini ambaye alihusika kushughulikia kusafirisha mwili wa msanii Albert Mangweha ‘Ngwea' aliyefia Johannesburg Juni, mwaka huu.

Ilivuja kuwa mwingine aliyetajwa na akina Masogange ni mfanyabiashara maarufu Bongo anayesafiri nje mara kwa mara huku jina la ‘mtoto wa mjini' Mangunga likitajwa zaidi hata na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison George Mwakyembe.

Gazeti hili lilipozungumza na Kamanda wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya, Godfrey Nzowa, alikiri kupewa majina hayo lakini akaliomba gazeti hili kutoyachapisha kwa sasa kuepuka kuvuruga ushahidi.

ULINZI KAMA SHEHE PONDA
Baada ya polisi wa upelelezi na wale wa kimataifa (Interpol) kujiridhisha na maelezo ya mabinti hao, walipandishwa kizimbani kwa mara ya pili Agosti 19, mwaka huu chini ya ulinzi mkali kama ule ‘anaowekewaga' Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda anapofikishwa kwenye mahakama mbalimbali nchini kwa kesi zake za madai ya uchochezi.

WAPANDISHWA TENA KORTINI
Habari kutoka Sauzi zilieleza kuwa akina Masogange walipandishwa tena kizimbani hivi karibuni ambapo tayari kesi yao imeanza kuunguruma ikielezwa kuwa endapo watakutwa na hatia watakula mvua ya kifungo si chini ya miaka 10 kwa sheria za nchi hiyo.

Masogange na Mellisa walinaswa nchini humo Julai 5, mwaka huu wakiwa na mabegi sita yaliyokuwa na mzigo huo wa unga.

- He! he! yaani this is incredible kumbe walikuwa hawajataja? Mbona tuliambiwa wameshawataja siku nyingi? ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
- He! he! yaani this is incredible kumbe walikuwa hawajataja? Mbona tuliambiwa wameshawataja siku nyingi? ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz

Ni mtoto wa mwana CCM mwenzetu....Kinje Ngombale Mwiru na Juma Pinto marafiki zako, you know kama vipi na wewe ujipange....Supar sana..

One Love
 
HUKO CCM kumejaa wahuni na wauza madawa ya kulevya na ndio maana wengine wamelewa milele kam NDUGAI.
 
Naanza ku connect dots. Inawezekana kabisa kuwa shomari kimbau ndio aliyembebesha mzigo mmbwana matumla ambae kakamatwa huko hispania.

mkuu unahoji hilo?? huwez amini hata sasa kuna mwana masumbwi mmoja kakamatwa Italy na sembe, na huyu kachana live kwamba mzigo ni wa shomari. huyu jamaa ni balaa sana hata sisi kufungiwa kwenye shirikisho la ngumi sababu ni yeye.
 
Yaan magamba kishne.......si unaona bendera ina nyundo kwa ajili ya kuvunja,jembe kuzika???

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huyu jamaa alishapiga mtu risasi na kuua lakini akaja kuachiwa huru! Kuwa mtoto wa "mkubwa" Tanzania ni raha sana! Shomari Kimbau alishadakwa Zimbabwe na unga!
Shomari ni mshenzyy tu na huyu anashirikiana na Kinje katika hili. Kama unaweza kukonnect dots wakati anamiliki tenda ya ubungo bus terminal aliwah kusafirisha madawa na baus ta taqwa kwenda SA. AKIDAI ni tiket za getini a ubungo eti zimekosewa namba so anarudisha kwa supplier.
 
Wabanwe hadi wawaseme na wauseme mtandao wao wote

mimi nasema hapana , wakitajwa watatikisa chama ! Bwa ha! Ha! Ha! Ha! Ifweero bhana ! Kuna mmoja alikuwa diwani wa ccm hapo , sijui kama unalitambua hilo ! Tutaua chama jamani .
 
Kina nani sasa hao waliowatuma? mbona hadithi ndeeefu lkn hajatajwa mtu? hapa ni jamiiforums bana
 
huyu kinje toka niko nakua namsikia akitajwa tajwa sijui kwanini huwa watu wanamunea aibu kumuadabisha

.......Mimi hadi sasa hivi nazeeka kila siku nasikia sikia kuhusu mtoto wa raisi, hivi nae hajatajwa au katika mzigo huo hausiki yake anapeleka China tu?
 
Achen zenu nyie,kila mtu na starehe yake,cocktail ndo yatufanya tuwe watu mjin hapa na tufanikishe mishe ming,achek kuhukumu akat n starehe kwetu,kikubwa jitahdin kutuombea mabaya yasitukute na hao mwewe wasikamatwe kitu kifike salama.shikamoo Ngunga boy en Kinje baby
 
Back
Top Bottom