Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Tatizo walishahakikisha pesa hizohizo zinaingia kwenye system ya juu zaidi ya utawala, kuwashughulikia itakuwa ngumu sana.


Hawa watu wanojishuhulisha na biashara ya madawa ya kulevya ni watu wenye akili sana na ndio maana wanawashirikisha wakubwa wa nchi kupitia watoto au wake zao kama kinga yao!! Ii is no wonder kuwa Tanzania wale wanaojihusisha na biashara hiyo wako karibu sana na ukoo wa mtawala mkuu; Manji atajitahidi kwa uwezo wake wote kumuweka Ridhwani kuwa ndio kiongozi wa ujenzi wa uwanja wa Yanga, Juma Pinto anabae ni partner wa Ridhwani kibiashara nae atajiweka kuwa kiongozi wa waandishi wa michezo!! Toka biashara ya haya madawa ya kulevya imeshtukiwa, nyie wapenzi wa Yanga mmejiuliza kwanini mipango ya ujenzi wa kiwanja chenu cha mpira imedumaaa? Tafakarini halafu mchukue hatua.
 
Mambo ya lisemwalo sijui lipo au kama halipo laja hayahusiki hapa.

Leteni ushahidi ulio zaidi na maneno yenu tu.

unauliza maswali ya kitoto! usilete ushushushu wako JF. umepewa hints, tafuta facts mwenyewe!
 
Kama Serikali inaficha majina ya drugs lords basi bora tuwataje tu. kwa kupitia comments za watu, ma drugs lords wa TZ ni Riz_One. Kinje Ngombalu, Will Malecela, Shomari Kimbau... tuendelee na list.
 
Kama ni vigogo TZ hawakamatwi, Ndio maana wanajitahidi kulinda himaya yao kwa nguvu zote, bungeni Serikali tasisi za wezi kila mahali ufisadi tuu!!! Hakuna kujali!!
 

alimharibu vip huyo mtoto wa Sitta??
 
mwenye uhakika na hayo majina yaliyotajwa ajitokeze basi ili aiasaidie selikali
 
Hivi huyo kinje ngwale sindio anatoka kwenye ile familia ambayo baba mweye nyumba ni mpagani? haamini kama kuna mungu. kama ndio hiyo sasa hapo mnategemea nini? hawa huu mfumo ukibadilishwa niwakuchapa viboko hadha haiwezekani watuharibie watoto alafu tukae kimya
 
Ushauri tu wa bure mwandishi kama unandika habari kwa kufichaficha mambo habari yenyewe inakua haina maana na inaonekana kama porojo zenye maneno ya majungu tu mana kama una uhakika na unachoandika kwanini usitaje hayo majina waziwazi?
Au kwa vile watu wanawahisi vigogo ndo mnamuwa mtuletee habari za kuza magazeti?????
BADILIKENI BANA
 
Kisha ukiona wazee walioua mashirika, taasisi, kufilisi nyumba za umma, na madudu kedekede wanaongea na kushangiliwa Kama Miungu kweli unatamani uhame nchi, at least Kenya big fraudsters and drug lords are named and shamed, hapa ni list ya majina weeeee mpaka Mapunda wakaamua kusema aliyewatwisha mzigo

Jana nilimuona Chenge anachangia hoja nilisikia kuvomit, Nikakumbuka Nchimbi na Chifupa them days.....AMA kweeli maradhi yooote ugua lakini udwanzi usiombeeeeeeee
 

KAMA UMESHNDWA KUJIAMINI HAPA, UTAJIAMIN WAP?, na UDAKU wako!.
 
hapo kwenye red ndio upumbavu tusioutaka hapa jf kama lipo wewe kwa nini usitaje mods usiruhusu thread za jina lipo eboh!
 
huyu kinje toka niko nakua namsikia akitajwa tajwa sijui kwanini huwa watu wanamunea aibu kumuadabisha

hivi ni kweli baba yake hana ufahamu wa hiyo mipango. Hawa wamezoea - miaka ya nyuma sana wakati Ngombale Mwiru alikuwa mkuu wa mkoa wa moja wapo ya mikoa ya kusini mke wake, mama mmoja wa kihaya, alikuwa anafanya biashara ya magendo mipakani akitumia gari la mkuu wa mkoa likiwa na bendera ya Taifa. Askari waliishia kuiogopa gari na kuongeza saluti. wakati huo redio ni moja na magazeti ni ya serikali na chama ni kimoja.

Hawa watu biashara haramu wanataka waziendeleze hadi wanaenda kwa Mola - na hatimae sasa kuwatumbukiza watoto wa watu - hapa bila shaka waliwahakikishia usalama wao kutokana na ushawishi wa dingi - lakini wakati wa kutumia gari za serikali na kupigiwa saluti ndo umeyoyoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…