calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 274
Invisible
Kindly merge this thread na ile iliyowataja Akina Juma pinto
Kindly merge this thread na ile iliyowataja Akina Juma pinto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo walishahakikisha pesa hizohizo zinaingia kwenye system ya juu zaidi ya utawala, kuwashughulikia itakuwa ngumu sana.
Mambo ya lisemwalo sijui lipo au kama halipo laja hayahusiki hapa.
Leteni ushahidi ulio zaidi na maneno yenu tu.
mi naona ni bora wanyongwe, iwe fundisho kw wengine.
Untill proven guilty ndio wanyongwe, sawa sawa victus?[/QUOT.
Kama n kunyongwa basi n kuanzia walio watuma mpaka mbebaji
Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).
Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.
Iwe fundisho kwa vijana wenye tamaa ili wasitumiwe hovyo.
Iwe fundisho kwa vijana wenye tamaa ili wasitumiwe hovyo.
Na Mwandishi Wetu
IMEVUJA! Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald Masogange na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa dawa za kulevya unga Afrika Kusini waliingizwa kwenye chumba cha mateso kwa saa 24 ili kutaja waliowatuma.
Habari kutoka kwa chanzo chetu kilichopo jijini Johannesburg nchini humo zilidai kuwa baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo, walipelekwa polisi ambapo walichukuliwa maelezo.
Ilielezwa kuwa mwanzoni waligoma kueleza mzigo huo wa kilo 150 wa unga ulikuwa wa nani hivyo ikabidi polisi wa upelelezi watafute njia nyingine ya kuwalainisha kwa kuwabembeleza kuwa wakieleza ukweli wataachiwa.
MATESO SAA 24
Chanzo hicho kilisema kuwa baada ya mbinu hiyo kushindikana ndipo wawili hao wakaingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ikiaminika kuwa watasema aliyewatuma.
USHUHUDA
Unajua Sauzi (Afrika Kusini) huwa hawana utani na ishu za madawa ya kulevya. Jamaa (polisi) wana kila aina ya mbinu ya kumfanya mtu aeleze ukweli.
Katika kutesa unaweza kuingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ambayo nayo huwa yana steji zake.
Kwanza utaanzia kwenye chumba kilichojazwa siafu wakubwa na huko unaweza usijue kuwa kuna siafu zaidi ya kuona kitu kama red carpet (zuria jekundu) kuanzia sakafuni, ukutani hadi kwenye dari, kumbe wale wote ni siafu.
Wakishakuingiza mle ndipo utashangaa wale siafu wanacharuka na kuanza kukungata mwili mzima, zoezi hilo hufanyika kwa saa 24. Lazima useme ukweli.
Kama bado ukijifanya mbishi au nunda ndipo unapelekwa hatua nyingine ya kulazimishwa kujisaidia haja ndogo kwenye waya wa umeme.
Si unajua tena waya wenye umeme na maji vikikutana nini kinatokea? Lazima itatokea shoti ya kutisha kwani ule waya hufuata sehemu yale maji yanapotokea.
Kinachofuata ni mtu kupigwa shoti kali ya umeme ambapo lazima utasema tu.
Hicho ndicho kilichowapata akina Masogange kama wanavyofanyiwa Wabongo wengine wanaokamatwa Mitaa ya Rissik hapa Johannesburg.
WALIOWATUMA
Baada ya mateso hayo, waliwataja waliowatuma mzigo huo wa unga aina ya crystal methamphetamine wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8, kilisema chanzo hicho ambacho ni Mbongo ambaye kwa sasa ni mkazi wa Mtaa wa Rissik, Johannesburg, wanapoishi Wabongo kwa kuungaunga aliyewahi kukumbwa na mkasa kama huo.
MTOTO WA KIGOGO ATAJWA
Habari za ndani zilidai kuwa baada ya kupitia mateso hayo, mabinti hao waliwataja watu wawili waliowatuma kusafirisha mzigo huo, mmoja akiwa ni mtoto wa kigogo ambaye ni mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania (jina lipo).
Ilidaiwa kuwa mtoto huyo wa mkubwa ni mjanja wa mjini ambaye alihusika kushughulikia kusafirisha mwili wa msanii Albert Mangweha Ngwea aliyefia Johannesburg Juni, mwaka huu.
Ilivuja kuwa mwingine aliyetajwa na akina Masogange ni mfanyabiashara maarufu Bongo anayesafiri nje mara kwa mara huku jina la mtoto wa mjini Mangunga likitajwa zaidi hata na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison George Mwakyembe.
Gazeti hili lilipozungumza na Kamanda wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya, Godfrey Nzowa, alikiri kupewa majina hayo lakini akaliomba gazeti hili kutoyachapisha kwa sasa kuepuka kuvuruga ushahidi.
ULINZI KAMA SHEHE PONDA
Baada ya polisi wa upelelezi na wale wa kimataifa (Interpol) kujiridhisha na maelezo ya mabinti hao, walipandishwa kizimbani kwa mara ya pili Agosti 19, mwaka huu chini ya ulinzi mkali kama ule anaowekewaga Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda anapofikishwa kwenye mahakama mbalimbali nchini kwa kesi zake za madai ya uchochezi.
WAPANDISHWA TENA KORTINI
Habari kutoka Sauzi zilieleza kuwa akina Masogange walipandishwa tena kizimbani hivi karibuni ambapo tayari kesi yao imeanza kuunguruma ikielezwa kuwa endapo watakutwa na hatia watakula mvua ya kifungo si chini ya miaka 10 kwa sheria za nchi hiyo.
Masogange na Mellisa walinaswa nchini humo Julai 5, mwaka huu wakiwa na mabegi sita yaliyokuwa na mzigo huo wa unga.
hapo kwenye red ndio upumbavu tusioutaka hapa jf kama lipo wewe kwa nini usitaje mods usiruhusu thread za jina lipo eboh!na mwandishi wetu
imevuja! Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za kibongo, agnes gerald masogange na shosti wake, mellisa edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa dawa za kulevya unga afrika kusini waliingizwa kwenye chumba cha mateso kwa saa 24 ili kutaja waliowatuma.
Habari kutoka kwa chanzo chetu kilichopo jijini johannesburg nchini humo zilidai kuwa baada ya kukamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa oliver tambo, walipelekwa polisi ambapo walichukuliwa maelezo.
Ilielezwa kuwa mwanzoni waligoma kueleza mzigo huo wa kilo 150 wa unga ulikuwa wa nani hivyo ikabidi polisi wa upelelezi watafute njia nyingine ya kuwalainisha kwa kuwabembeleza kuwa wakieleza ukweli wataachiwa.
mateso saa 24
chanzo hicho kilisema kuwa baada ya mbinu hiyo kushindikana ndipo wawili hao wakaingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ikiaminika kuwa watasema aliyewatuma.
ushuhuda
unajua sauzi (afrika kusini) huwa hawana utani na ishu za madawa ya kulevya. Jamaa (polisi) wana kila aina ya mbinu ya kumfanya mtu aeleze ukweli.
katika kutesa unaweza kuingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ambayo nayo huwa yana steji zake.
kwanza utaanzia kwenye chumba kilichojazwa siafu wakubwa na huko unaweza usijue kuwa kuna siafu zaidi ya kuona kitu kama red carpet (zuria jekundu) kuanzia sakafuni, ukutani hadi kwenye dari, kumbe wale wote ni siafu.
wakishakuingiza mle ndipo utashangaa wale siafu wanacharuka na kuanza kukungata mwili mzima, zoezi hilo hufanyika kwa saa 24. Lazima useme ukweli.
kama bado ukijifanya mbishi au nunda ndipo unapelekwa hatua nyingine ya kulazimishwa kujisaidia haja ndogo kwenye waya wa umeme.
si unajua tena waya wenye umeme na maji vikikutana nini kinatokea? Lazima itatokea shoti ya kutisha kwani ule waya hufuata sehemu yale maji yanapotokea.
kinachofuata ni mtu kupigwa shoti kali ya umeme ambapo lazima utasema tu.
hicho ndicho kilichowapata akina masogange kama wanavyofanyiwa wabongo wengine wanaokamatwa mitaa ya rissik hapa johannesburg.
waliowatuma
baada ya mateso hayo, waliwataja waliowatuma mzigo huo wa unga aina ya crystal methamphetamine wenye thamani ya zaidi ya sh. Bilioni 6.8, kilisema chanzo hicho ambacho ni mbongo ambaye kwa sasa ni mkazi wa mtaa wa rissik, johannesburg, wanapoishi wabongo kwa kuungaunga aliyewahi kukumbwa na mkasa kama huo.
mtoto wa kigogo atajwa
habari za ndani zilidai kuwa baada ya kupitia mateso hayo, mabinti hao waliwataja watu wawili waliowatuma kusafirisha mzigo huo, mmoja akiwa ni mtoto wa kigogo ambaye ni mwanasiasa mkongwe nchini tanzania (jina lipo).
ilidaiwa kuwa mtoto huyo wa mkubwa ni mjanja wa mjini ambaye alihusika kushughulikia kusafirisha mwili wa msanii albert mangweha ngwea aliyefia johannesburg juni, mwaka huu.
Ilivuja kuwa mwingine aliyetajwa na akina masogange ni mfanyabiashara maarufu bongo anayesafiri nje mara kwa mara huku jina la mtoto wa mjini mangunga likitajwa zaidi hata na waziri wa uchukuzi, dk. Harrison george mwakyembe.
Gazeti hili lilipozungumza na kamanda wa kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya, godfrey nzowa, alikiri kupewa majina hayo lakini akaliomba gazeti hili kutoyachapisha kwa sasa kuepuka kuvuruga ushahidi.
ulinzi kama shehe ponda
baada ya polisi wa upelelezi na wale wa kimataifa (interpol) kujiridhisha na maelezo ya mabinti hao, walipandishwa kizimbani kwa mara ya pili agosti 19, mwaka huu chini ya ulinzi mkali kama ule anaowekewaga katibu wa jumuiya na taasisi za kiislamu tanzania, shehe ponda issa ponda anapofikishwa kwenye mahakama mbalimbali nchini kwa kesi zake za madai ya uchochezi.
wapandishwa tena kortini
habari kutoka sauzi zilieleza kuwa akina masogange walipandishwa tena kizimbani hivi karibuni ambapo tayari kesi yao imeanza kuunguruma ikielezwa kuwa endapo watakutwa na hatia watakula mvua ya kifungo si chini ya miaka 10 kwa sheria za nchi hiyo.
Masogange na mellisa walinaswa nchini humo julai 5, mwaka huu wakiwa na mabegi sita yaliyokuwa na mzigo huo wa unga.
huyu kinje toka niko nakua namsikia akitajwa tajwa sijui kwanini huwa watu wanamunea aibu kumuadabisha