Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Kinjeketile Kingunge Ngombale Mwiru....

William John Samwel Malecela.....

Hao ni baadhi tu ya watoto wa vigogo wa CCM wanaoishi mjini kwa mission town. Kazi zao za kila siku hazijulikani.
 
Yeah hivi ni mtoto pekee yule? Na jina lake ka dawa za kienyeji

ana kijana mwingine anaitwa NGUNGANE NGUMBALEMWIRU,huyu alizaa na mdada mmoja maeneo ya makole dodoma,na mzee Kingunge nilikua namuona sana akienda palee,maana kulikua na bomba la maji ndo nilikokua nachota,huyu ngungane alizaliwa wakat mzee kingunge akiwa wizara ya TAMISEMI na ngungane amesoma elim ya msingi shule ya msingi MAKOLE,nilimjua ngungane akiwa darasa la 3 mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
Wanamuogopa baba yake
Sio tu hilo, mambo haya yanamafungamano hata na hao wanaweza kuchukua hatua. Ukimkamata Kinje, mzunguko unaweza kuwakumba na wateule wengine na hata "mwanamfalme"! Vijana hawa hawawezi kufanya mambo haya peke yao bila ya "watu wakubwa" ambao pia ni washirika katika biashara hiyo (kwa kutoa mitaji, ulinzi/usalama/logistics na hata kusaidia "kuzima" kama ikitokea "bahati mbaya" mambo yakaenda kombo!).

Inatisha sana kwa sababu UWT imebakia kuwa jina tu!
 
Kama majina yapo watajwe na sheria ifanye kazi yake. Kwani vijana wanazidi kuangamia!!
 
lol jamani kweli sheria msumeno lakini najiuliza kakosa nini binti mzuri kiasi hicho mpaka kujitafutia riziki kwa njia magumash?
Kandanganywa tu na wazee wa mujini....sisi wanaume watu hatari sana.Mtoto mdogo yule kakutana na mabazazi wamemdanganya..angalia kilichompata.A beauty in a woman can be a blessing or a curse....if not well used!
 
kila nikikumbuka jina analijita kwenye instagram nacheka tu:smile-big:
 
Kandanganywa tu na wazee wa mujini....sisi wanaume watu hatari sana.Mtoto mdogo yule kakutana na mabazazi wamemdanganya..angalia kilichompata.A beauty in a woman can be a blessing or a curse....if not well used!
Hiyo ni kweli kwenye sentensi ya mwisho... Nimeipenda!!
 
Kandanganywa tu na wazee wa mujini....sisi wanaume watu hatari sana.Mtoto mdogo yule kakutana na mabazazi wamemdanganya..angalia kilichompata.A beauty in a woman can be a blessing or a curse....if not well used!

Hivi binti huyu ndo yule binti kiziwi wa z antoni?
 
Back
Top Bottom