Hivi kuna ushahidi kwamba Kinje anajihusisha na hiyo biashara au ni maneno tu ya watu yasiyo na ukweli wowote?
Mkuu Nyani Ngabu hivi unataka ushahidi wa kupeleka mahakamani au unataka uhalisia?maana kama unazungumzia ushahidi ili ukusaidie mahakani hilo ni sawa lkn kama unataka uhalisia wa jambo basi wewe elewa hivyo,mambo ya ushahidi hilo ni jambo jingine na kwa mahali pengine.maana tumeona watu wametenda makosa lkn eti ushahidi unakosekana,nakubaliana na hilo lkn inapofika kuzungumzia jambo halisia nje ya mahakama basi nakushauri uelewe hivyo ya kwamba Kinje ni noma.
