REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
huyu kinje toka niko nakua namsikia akitajwa tajwa sijui kwanini huwa watu wanamunea aibu kumuadabisha
May be wanasubiri kale kazee kake ka R.I.P au ka R.I.H,ndipo wamshughulikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu kinje toka niko nakua namsikia akitajwa tajwa sijui kwanini huwa watu wanamunea aibu kumuadabisha
Hiyo ni kweli kwenye sentensi ya mwisho... Nimeipenda!!
Hivi binti huyu ndo yule binti kiziwi wa z antoni?
Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).
Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.
Tatizo walishahakikisha pesa hizohizo zinaingia kwenye system ya juu zaidi ya utawala, kuwashughulikia itakuwa ngumu sana.Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).
Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.
Baba yake hana habari ya biashara ya mwanawe kweli?Kinje katajwa, wala sio siri
Huyu ni wa ile nyimbo ya Masogange ya Belle 9...yule wa Z-ANTO nasikia na yeye ananyea debe Hongkong kwa kesi hizi hizi za sembe..
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]Hivi ni kwa nini wanazugazuga wasitaje tu kuwa ni Kinjekitile Ngombale Mwiru ndiyo Drug Lord wa Tanzania anayetuulia watoto wetu? Wazazi kaeni chonjo, Kinje ni lazima ashughulikiwe. Anajidau kuwa na vitenda fake vya manispaa vya kifisadi kufichia ufisadi wake wa madawa. Halafu kila mahali anatishia watu, kuna wakazi wa Temeke ambao wanateseka sana kwa mafuruko kwa kuwa alijenga godown lake la kuhifadhia maghari yake ya taka ya M.P Environment. Fence hilo alijenga juu ya mtaro wa maji akikingiwa kifua na diwani Noel CCM wa Chang'ombe. Pale hakuna anaweza kuuliza kitu. Hakika wale wakazi waliniita siku moja nikaona ile hali, sasa nataka niwasaidie na nitapasua kila kitu na wala sitaogopa.

baba yake kitu gai bhana. kwanza kizee chanyewe kinawaza miaka 50 nyuma unafikiri kuna mtu hapo??Wanamuogopa baba yake
Kumekucha!!!!!