Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Yeah hivi ni mtoto pekee yule? Na jina lake ka dawa za kienyeji
Kinjeketile Kingunge Ngombale Mwiru....
William John Samwel Malecela.....
Hao ni baadhi tu ya watoto wa vigogo wa CCM wanaoishi mjini kwa mission town. Kazi zao za kila siku hazijulikani.
Na makucha yake.Kumekucha!!!!!
Wanamuogopa baba yakehuyu kinje toka niko nakua namsikia akitajwa tajwa sijui kwanini huwa watu wanamunea aibu kumuadabisha
Kinje katajwa, wala sio siri
Sio tu hilo, mambo haya yanamafungamano hata na hao wanaweza kuchukua hatua. Ukimkamata Kinje, mzunguko unaweza kuwakumba na wateule wengine na hata "mwanamfalme"! Vijana hawa hawawezi kufanya mambo haya peke yao bila ya "watu wakubwa" ambao pia ni washirika katika biashara hiyo (kwa kutoa mitaji, ulinzi/usalama/logistics na hata kusaidia "kuzima" kama ikitokea "bahati mbaya" mambo yakaenda kombo!).Wanamuogopa baba yake
Huyu masogange wamuache tu jamani! Wasimfunge wanirudishie baibi wetu.
Huyu masogange wamuache tu jamani! Wasimfunge wanirudishie baibi wetu.
Salum Kinje wa Msimbazi au yule mtoto wa Kingu..?Kinje katajwa, wala sio siri
Kandanganywa tu na wazee wa mujini....sisi wanaume watu hatari sana.Mtoto mdogo yule kakutana na mabazazi wamemdanganya..angalia kilichompata.A beauty in a woman can be a blessing or a curse....if not well used!lol jamani kweli sheria msumeno lakini najiuliza kakosa nini binti mzuri kiasi hicho mpaka kujitafutia riziki kwa njia magumash?
Hiyo ni kweli kwenye sentensi ya mwisho... Nimeipenda!!Kandanganywa tu na wazee wa mujini....sisi wanaume watu hatari sana.Mtoto mdogo yule kakutana na mabazazi wamemdanganya..angalia kilichompata.A beauty in a woman can be a blessing or a curse....if not well used!
Kandanganywa tu na wazee wa mujini....sisi wanaume watu hatari sana.Mtoto mdogo yule kakutana na mabazazi wamemdanganya..angalia kilichompata.A beauty in a woman can be a blessing or a curse....if not well used!