Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Huyo kinje 2015 atashuhulikiwa chadema wakingia madarakani tena wote wauza sembe
 
Rissik Street, Coarse Street - Braamfontein, Park Station, Hillbrow, Mandela Bridge ni maeneo ambayo muda wowote unaweza kunigwa.

Kuna studio moja ya wabongo ipo Braamfontein ina vijana lundo, halafu ukienda kuwasalimia kama Mtz mwenzio wanakuwa na hofu sana, nadhani unga unaweza kuwa unawahusu.
 

Kuna jamaa wamefanya investigative journalism huko na kuchapisha sehemu ya taarifa iliyoko kwenye hii thread: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/517253-watanzania-na-madawa-ya-kulevya-nje-ya-nchi.html
 
Na Mwandishi Wetu
"Gazeti hili lilipozungumza na Kamanda wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya, Godfrey Nzowa, alikiri kupewa majina hayo lakini akaliomba gazeti hili kutoyachapisha kwa sasa kuepuka kuvuruga ushahidi"

Inakuwaje Nzowa anakuwa commanding officer hadi kwenye magazeti ya kijamii? Kwa nini waandishi wananyenyekea kwa maofisa hawa wa polisi? Hakuna sheria inayozuia waandishi kuandika habari zilizoko polisi, je hawa waandishi wanapata wapi kigugumizi? Wanategemea hadhira itunge majina vichwani mwao wakati wao ndio wenye habari? Au ndio wanataka baadae walete zile habari za wapalestina waliokimbia? Najiuliza mwenyewe hapa sipati jibu sahihi! Magazeti haya ukiyasoma kwa umakini unaweza pata kichefuchefu.
 
Wanajukwaa mi yote hayo sifikirii, kinachonisumbua ni jinsi yule msichana nkivyokuwa namuwaza siku moja nije muonja. Aisee kafungasha balaa sijali hata kama alikuwa na tabia mbaya au nzuri, NISINGEMCHOKA

Si umfuate gerezani kwa Madiba?
 
Huo ushahidi uliopo ni upi, upo wapi, na nani anao?



Ushahidi, ushahidi, ushahidi....upo wapi kuthibitisha haya unayoyasema?

WEWE mbona unang'ang'ana na ushahidi unataka uupeleke wapi? Kwa nini usimfute Kamanda Nzowa akupatie toka database yake?
 

Safi kabisa MANSHIROO kwa kuongea kauri za kishujaa wanatakiwa watu kama wewe sio watu wanaficha ukweli ili iweje sasa
 
Duuh Wanalindana tu ila kila kitu kina mwisho wake...

Hivi Wakuu Albert Mangwair alikua Punda nae?
 
Inasaidia sana tu. We unadhani mtu akijua kuwa kuna kitanzi atakubali kirahisi kuwa punda????
 
mi ndo maana naona hao viongozi wote wanafiki tu!
Watu wanajulikana ila bla bla kibao
 
Hawajataja vizuri maana hata wabunge hawatapona........
 
logical thinking tu;kiongozi mkuu wa nchi anasema anawafahamu wauzaji na waagizaji wa madawa tena kwa majina,viongozi waandamizi wa serikali wanakiri hivyo pia,vyombo vya usalama(polisi) nao hivyovivyo halafu inasakafiwa na kauli ya kiongozi mwingine wa serikali kwamba "tukiwakamata nchi itatikisika".kama mimi ni mfanyabiashara ya madawa nadhani nitakuwa na amani sana na ujasiri wa kuendelea na kazi zangu maana mkuu wa nchi inawezekana kabisa ananifahamu na polisi wananifahamu lakini hawawezi nichukulia hatua.Why not take the chance and slide making mi self richer by the day?
 
Kwanini hakamatwi huyo anaye zarililisha jina kamanda wa vita ya majimaji
 
Samahani kama ntaikosea jamii
siku ya mwisho kutosikia haya madawa yakipita ni kumwondoa pale kamanda nzowa na kumpeleka kijijini moshi kuwa mkuu wa kituo cha rombo
 

Naanza ku connect dots. Inawezekana kabisa kuwa shomari kimbau ndio aliyembebesha mzigo mmbwana matumla ambae kakamatwa huko hispania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…