Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Masikini Gambo kasalitiwa waziwazi...Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.
Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo?
Tupe maoni yako
View attachment 3248208
Karma inamtafunaMasikini Gambo kasalitiwa waziwazi...
Masikini Gambo kasalitiwa waziwazi...
Yaani Siasa za Tanzania!!!Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.
Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo?
Soma zaidi: Pre GE2025 - Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?
View attachment 3248208
Upumbavu unaosikitisha. Sijui tumefikaje hapa. Hawa wote ni magarasa ya CCM yanayohitaji kubebwa na mfumo-dola.Upumbavu mtupu
Ubunge unyama sana na una maposho na marupu rupu mengi na ana nafasi pia ya kuukwaa unaibu au uwaziri kabisa , ukuu wa mkoa ni uchawa na anacho faidi mkuu wa mkoa ni kuweka wenzie ndan kwa saa 24 na kupigiwa saluti na maaskari tu. Ila hakuna lolote huko kwenye ukuu wa mkoa zaidi ya kulewa misifa tu akiwa mbele ya maafande na kuwaamrishaKwani ubunge na ukuu wa mkoa upi unyama?