Pre GE2025 Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini

Pre GE2025 Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani mkuu wa mkoa na mbunge nani anaweza kupigwa chini muda wowote? MP ana uhakika wa miaka mi5, hata Rais akikuchukia anabaki kukutazama tu. Lakini RC akipewa umbea tu hunao tena. Njoo kwenye mshahara. Huyo RC anakaribiana na mimi tu
Aliyemteua makonda ana shida mahali
 
Naangalia eatv

Madiwani WA Arusha wamesutana kwenye kikaoo wao kwa wao ndio wanakwamisha MAENDELEO ya Arusha

MMOJA WA madiwani amesema unakuta tunakubaliana jambo unasikia nusu ya madiwani wanagoma hizo project ambazo zote n KUSAIDIA Wana Arusha

Najiuliza

Hawa ndio wanataka kuwachagulia Arusha mbunge octb 2025. Kama chawa

Nawaza tu kama wao kwa wao hawaelewani wanapata nguvu gani kutaja kuchaguliwa wananchi mbunge

Ccm
Mytake

Hawa madiwani wasirudi HATA MMOJA kwenye uchaguzi ujao wametuaibisha sana....
 
Diwani kama Doita asiye na kazi ya kumuingizia kipato zaidi ya Udiwani,unategemea nini zaidi ya Uchawa na Majungu ?
 
Naangalia eatv

Madiwani WA Arusha wamesutana kwenye kikaoo wao kwa wao ndio wanakwamisha MAENDELEO ya Arusha

MMOJA WA madiwani amesema unakuta tunakubaliana jambo unasikia nusu ya madiwani wanagoma hizo project ambazo zote n KUSAIDIA Wana Arusha

Najiuliza

Hawa ndio wanataka kuwachagulia Arusha mbunge octb 2025. Kama chawa

Nawaza tu kama wao kwa wao hawaelewani wanapata nguvu gani kutaja kuchaguliwa wananchi mbunge

Ccm
Mytake

Hawa madiwani wasirudi HATA MMOJA kwenye uchaguzi ujao wametuaibisha sana....
Lema ashaikimbia Arusha. Yupo Dar na Lissu wanasherekea kumtoa Mbowe
 
Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.

Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo?

Soma zaidi: Pre GE2025 - Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?
View attachment 3248208
😁😁😁😁🤣🤣🤣👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGkwR4LSZZk/?igsh=ZThtaDNtcHB3dzU1
 
Back
Top Bottom