Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hizi siasa za kipuuzi Gambo alizifanya sana Lema akiwa mbunge. Sasa naona karma inafanya yake. Na huyo Makonda hata yeye atakutana na karma tu ya siasa zake za kipuuzi.Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.
Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo?
Soma zaidi: Pre GE2025 - Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?
View attachment 3248208