Hizi siasa za kipuuzi Gambo alizifanya sana Lema akiwa mbunge. Sasa naona karma inafanya yake. Na huyo Makonda hata yeye atakutana na karma tu ya siasa zake za kipuuzi.Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.
Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo?
Soma zaidi: Pre GE2025 - Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?
View attachment 3248208
Ni machawa tuu hao hawana lolote.Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.
Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo?
Soma zaidi: Pre GE2025 - Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?
View attachment 3248208
Anko,sisi wajomba zako hapa jimbo la kati tunakuhitaji ugombee,tumekubaliana na mjombaako mwenyekinanihii atusapoti na amekubali...Hawajielewi
Kwa akili za huyo jamaa si ajabu.Huenda amewaomba wamwombe..
Makonda anaweza kuomba awe mbunge na hapo hapo mkuu wa mkoa.Kwani ubunge na ukuu wa mkoa upi unyama?
Hajasalitiwa.Ni mjinga asiyejua wakati wa kukaa kimya na wakati wa kuzungumza.Ni bingwa wa majungu na siasa za chuki.Arusha wameshamchoka.Huwezi kuwa na bifu na Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya,Mkurugenzi wa Jiji , Meya, madiwani 25 ikawa wote wana makosa kila mara.Siasa za majitaka kaanza tokea alipokuwa mbunge 2020 na hawezi kuacha.Ni narcissist.Masikini Gambo kasalitiwa waziwazi...
Anko,sisi wajomba zako hapa jimbo la kati tunakuhitaji ugombee,tumekubaliana na mjombaako mwenyekinanihii atusapoti na amekubali...
Karibu sana muda ukifika...
Naniii oyeee[emoji112]
Kwani kafwanywaje?Hii issue ya ubunge wa Arusha ina mkono kutoka pale jumba jeupe.. Gambo asalimu amri tu !
Gambo ni mnafiki na anastahili kutupwa kama jongoo na mti wake!Mbunge wa Arusha Mrisho Gambo Anapenda SIASA ila Siasa hazimpendi
Ni Sawa tu na Raila Odinga wa Kenya