Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

Swali linakuja, je Ukraine imeanza tumia F16? Maana hizo missiles zinatumika sana kwenye F16, ndege za Ukraine zilikua haziko fitted kubeba nato missiles
Mkuu hizo missiles zinabebwa na upgraded Mig 29 ambazo Ukraine ilipewa na NATO member,Mig-29 za Ukraine zilikua hazina uwezo wa kubeba hizo missiles sababu ni za zamani sana
 
... naona Marekani ameamua, kupitia sakata la Ukraine/Russia atoe onyo once and for all! Message sent to NK, Iran, China, et. al; kama kubwa lao anafanyiwa hivi they have to think twice! Simba hahangaiki na digidigi; hutafuta nyati/mbogo aliyenona.
Halafu sasa hizi missiles ni za miaka ya 1980,hajapeleka mpya AGM-88 ER
 
Mkuu hizo missiles zinabebwa na upgraded Mig 29 ambazo Ukraine ilipewa na NATO member,Mig-29 za Ukraine zilikua hazina uwezo wa kubeba hizo missiles sababu ni za zamani sana
Maana yake Poland au Romania kapeleka hizo Mig kisiri, maana nakumbuka walitaka peleka ndege kwa kupata assurance kutoka Marekani kuwa watapewa ndege zingine
 
Maana yake Poland au Romania kapeleka hizo Mig kisiri, maana nakumbuka walitaka peleka ndege kwa kupata assurance kutoka Marekani kuwa watapewa ndege zingine
Yeah kuna mahali nimesoma kwamba Romania walipeleka ndege zao Ukraine,itakua ni kweli maana hizo missiles haziwezi kurushwa na Mig-29 za Ukraine sababu zinahitaji ndege iwe na software maalum ndo iweze kubeba hayo Makombora
 
Haha niliona mahali kwamba vita ya ukraine sasa inaingia kwenye phase ngumu kumbe ndio US walimaanisha hivi.
Pro russia mkae mkao wa kunyolewa.
... watakuambia wanasubiri majira ya baridi eti hata Hitler alipigika msimu huo. Wanajisahaulisha kwamba bila US, UK, et. al. Mrusi alikuwa anatolewa kamasi na Nazi.
 
Marekani hachoki kuwaingiza mkenge wa Ukraine. Kila wakati tunasikiaga hizo story na kila wakati matokeo yanakuaga hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…