Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

Dawa imeshapatikana Russia anaweka no fly zone kwa kutumia S400 ikiwa Russia ambayo itakava Ukraine yote labda hizo HARM zifyatuliwe kutoka nje ya Ukraine na zenyewe zina range 150km
 
Dawa imeshapatikana Russia anaweka no fly zone kwa kutumia S400 ikiwa Russia ambayo itakava Ukraine yote labda hizo HARM zifyatuliwe kutoka nje ya Ukraine na zenyewe zina range 150km
Na wengine watakela gonjwa lengine pia zaidi ya lΓ‘ mwanzo.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Dawa imeshapatikana Russia anaweka no fly zone kwa kutumia S400 ikiwa Russia ambayo itakava Ukraine yote labda hizo HARM zifyatuliwe kutoka nje ya Ukraine na zenyewe zina range 150km
Kwahiyo siku zote hizo S400 hazikuepo ndo zimekuepo juzi baada ya HARM kuanza kufanya kazi?!
Ukweli ni kwamba Russia ana resources Ila hana tactics za kuweka no fly zone pale Ukraine,angeshaweka zamani
 
Ukiweka no fly zone means hata ndege za kiraia Putin hakutaka kusumbua RAIA upo hapo
 
Ukiweka no fly zone means hata ndege za kiraia Putin hakutaka kusumbua RAIA upo hapo
Hivi Una habari kama hizo Radar za S400 zilishaharibiwa na Makombora ya Ukraine mwezi uliopita?!. Hapo tulikua hatujui kama Ukraine tayari wana HARM missiles

The AFU destroyed the Russian radar "Podlyot-K1," which provides target designation for the S-300 and S-400 air defense systems

Russia Lost Modern Air Defense Radar and EW system after MLRS HIMARS Strike | Defense Express
 
The P-400 is designed to destroy all modern and advanced aerospace attack capability. On 28 April 2007, the Russian Government adopted the Triumph anti-aircraft missile system for service. "Triumph" is the name of the export version. According to Western analysts, S-400, along with such systems as Iskander and Bastion-class coastal anti-ship systems, plays a key role in the new concept of the Russian Armed Forces, known in the West as the "Anti-Access/Area Denial, A2/AD", which is that NATO troops cannot be stationed and move within the range of A2/AD restricted area systems without the risk of unacceptable damage.

A total of 56 S-400 ARS divisions are planned to be acquired by 2020
 
Urusi haina mambo ya kishoga kama USA. Halafu hio diplomasia aliyonayo Marekani ni ipi? Ya kutengeneza virusi ili kuangamiza Ulimwengu? Au ya kuchochea vita?

Angekuwa mtu wa diplomasia asingepeleka silaha Ukraine. Angeomba wayamalize kwa Amani.
haya maneno aliyaongea raisi wa china jamaa wachochea hii vita

USA ndo wachonganishii wakubwa kwa vita hata kule uwarabuni wao ndio wachonganishii
 
Naona kila mmoja anazungumzia 'winter ngoja ikifike' sasa wao wenyewe wameshajipanga na hiyo winter halafu mtakuja na stori za nini tena winter ikishapita.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Watahamisha magoli bwashee,utaona ,warus wa jamii forum wajanjawajanja sana walisema China anaenda kumchapa mmarekani ,ishu imekua tofaut wamehamisha magoli fasta wanadai China amekwepa mtego !!!!!!
 
Dawa imeshapatikana Russia anaweka no fly zone kwa kutumia S400 ikiwa Russia ambayo itakava Ukraine yote labda hizo HARM zifyatuliwe kutoka nje ya Ukraine na zenyewe zina range 150km
Aiseee hivi Crimea haikuwa na S400?
 
Na siku wakifanikiwa kuziharibu, Putin ataruka LIVE kutangazajambo hili.
 
Hahahaha mzee mwenzangu unayumba sasa
 
Taarifa mbaya ni kuwa miji iliyochukuliwa na urusi Sasa wanatumia visa ya urusi mtandao ya urusi na miji iko under construction ya mrusi na week ijayo wanasaina kujiunga na dola kubwa kuzidi dola zote duniani la urusi
 
Hii ya drones ni kweli Bayktar walikanusha, wakasema Turkey ni NATO anaitetea Ukraine na bidhaa yake. Ile meli ya Moskva hata kuzungumza ni aibu, wazir mzima anakanusha kwa kusema uongo, hapa ndipo nilipoamini hili taifa wale wazee wa USSR ni mazezeta.
 
Hahaha yaani wanazungumzia S400 kama mkombozi wakati alishafeli tayari. Hii vita US akiamua iishe mwezi huu hakika itaisha.
 
Hahaaaa ni kweli ,,Iran hawa si ndio walikuw t Ni kweli kama alivyowalea na kuwa train Taleban na Wa Iran , wa Iran walimtegemea Sana US Kwa vifaa na trainings Ile vita ya Iraq -Iran war
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…