Pre GE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha kuandika ujinga wako.
Unatengeneza propaganda mwenyewe, na unajijibu mwenyewe halafu unajipongeza.
Mleta mada ni zero kabisa.
 
Sasa tutakununulia DERRA
 
Hiki chama kimejaa wachaga tupu na wanaamua nani awe kiongozi duh
 
... huyo Msigwa aache unafiki! ... kama alipata taarifa kuwa Sugu na John Mrema wanapiga bia sehemu kwanini na yeye asingeenda kuwapa kampani viongozi wenzie? ... wenzio wakibadilishana mawazo jioni ndio iwe NONGWA? ... ACHA HIZO MSIGWA!
 
kama wapo huru hivyo basi kwenye chama chao kuna demokrasia nzuri. manake najua ccm isingewezekana mtu kuwa na courage hiyo kwasababu hakuna demokrasia.
 
yeye msigwa lazima hapa ataenguliwa tu. halafu, wakati sugu anatafuta pesa kwa ubunge alioupata, yeye msigwa alikuwa na skendo zake za wanawake kama mnakumbuka. ubunge wake umemsaidia nini? sishabikii rushwa ila ona mwenzake anayo hata hiyo hela ya kuhonga, yeye hana. ndio tujifunze kutumia fursa alikuwa na nafasi hata kukopa bank ajenge vitegauchumi kama wenzake.

tukija kwenye hoja, ameongea vitu vyenye point vyote, mtu kama anakunywa/ananunuliwa pombe na mpinzani wako, anakunywa naye hadi usiku wa manane, what do you expect na si ukute atakuwa na evidence ya picha. halafu, kwanini chadema walevi sana wa pombe, mwenyekiti wao naye mtu wa konyagi mnakumbuka hadi alivunjika mguu, si mtaenda na mapombe ikulu ninyi? oneni aibu.
 
Msigwa astaafu kwa heshima sio aenguliwe kwa kura akimbilie CCM , maana ndio navyo muona.
 
Nyumba inateketea ndani kwa ndani!
 
Msigwa anakuwa kama mtoto mdogo,chadema saivi ni genge la mafisadi,yanaonesha rangi halisi,Yeye na Lissu ni wabahili wakati mwenyekiti anahitaji mpunga wao kazi mayoress tuu,waachane nahilo genge la masela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…