Pre GE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

Pre GE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Itakuwa anapokea maelekezo maalumu kutoka kwa Billionea Sugu😃😃😃😃

Erythrocyte tafadhari njoo utoe ufafanuzi kuhusu madai ya Billionea Kumnunulia makreti ya Bia msimamizi ya uchaguzi mpaka anaanza kumpigia kampeni na kumuombea kura kwa wajumbe.
Mkuu umegundua bia ni neno lilotajwa mara nyingi kwa kurudiwa yaani wao bia tu kwisha kazi wanauza chama je wakipewa nchi itakuwa hakuna kazi ni pombe tu!
 
Watanzania ndio waone kuwa huhadaiwa sana kwa maneno matamu - huku ndani ya chama kukiwa na matendo mengi ya kishetani.
CCM tutazungumza baadae
 
Peter Msigwa Amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ambako anachuana na Sugu.

Just imagine hiki ndio chama Cha Upinzani kinachodia kitapambana na Rushwa yet chaguzi zao zote walioshindwa wametumia Rushwa ndio maana kutwa kucha wanashutumiana karibia mbao...
Mjombaaaaa kasomaaaa nyakatiiii

Wanakuchinjiaaaaa bahariniii mjombaaaaq ngoma ishapangwa badoo kupigwaaa mashuti ya aziz kii
Mpira uiisheeee
 
Watanzania ndio waone kuwa huhadaiwa sana kwa maneno matamu - huku ndani ya chama kukiwa na matendo mengi ya kishetani.
CCM tutazungumza baadae
Nikiwaambia na kuwafungua macho Huwa mnaniita chawa 😁😁😁

Saizi kete Yao ya mwisho ni Katiba Mpya,juzi nimemsikia Lisu anawapiga kamba eti wakipata Katiba Mpya shida zao zote zitaisha 😄😄😄😄

Nakauliza nitajie Nchi iliyomaliza shida baada ya kupata Katiba Mpya wakaanza kutukana 😂😂

Machadema Huwa ni zero brain kabisa.
 
Peter Msigwa Amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ambako anachuana na Sugu.

Just imagine hiki ndio chama Cha Upinzani kinachodia kitapambana na Rushwa yet chaguzi zao zote walioshindwa wametumia Rushwa ndio maana kutwa kucha wanashutumiana karibia mbao 😁😁😁😁


View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1795399167847616602?t=2FnzssLBoe9f9za8XQylUg&s=19
My Take
Umaskini wa Msigwa ndio chanzo Cha kutapatapa na kumuogopa taita Sugu.

Kwani nani alimkataza Msigwa kuwa na pesa? 😆😆😆😆

acha kubeti utakosa pesa ya uchaguzi, akashupaza shingo unaona sasa madhara ya kufata udhauri wa chehe :DisGonBGud:
 
Mada iliyo mezani uje utoe ufafanuzi!
Tuko kwenye maandalizi na Wagombea wote wako pamoja wanacheeeeekaaa mnavyokanyagana

Screenshot_2024-05-28-21-15-57-1.png
 
Mrema aondolewe kusimamia uchaguzi huo kuleta harmony vinginevyo ni kugawana mbao
 
Back
Top Bottom