Pre GE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo barua iko wp? Mbona km uchochez
 
Ni jambo la kawaida mgombea kuwa na wasiwasi na msimamizi wa uchaguzi hasa kama anao ukaribu na mpinzani wake.

Kunywa pombe pamoja ndio rushwa? Nadhani ameonesha tu kutoridhishwa kwake na huo ukaribu.

Ni haki yake Msigwa kulalamika na chama kichukue hatua kuondoa hiyo sintofahamu ili mshindi apatikane kwa haki na haki ionekane kutendeka.
 
Umeandika point sn mwamba
 
msigwa ameniambia anataka kupumzika siasa na afanye dini zaidi. sina hakika sababu ni kuhisi isolated na m4c au anataka agombee ubunge kupitia ccm. swali kwa ccm ya sasa inayotofautiana na ya magufuri,atapata baraka hyo?
 
Yaani Refa wa mechi ya Simba na Yanga akutwe anakunywa Mbege na MO Dewji we utaona siyo rushwa? 😂
 
Asante sana angalau wewe umenifunua macho, ...lakini pia mbona mara kwa mara binafsi humkuta Mr Msigwa akiwa anapiga soga na watu wa kitengo? Huwa wanajadili kitu gani?
Unadhani Mbowe na Sugu siyo kitengo? 😂😂😂😂
 
ccm wana nafasi kubwa kumtumia msigwa sasa kumwaga ugali, manake chadema wamemwaga ugali. changamkieni fursa hiyo.
 
Msigwa aache roho mbaya. Hata sisi wanaCCM tunafurahishwa na ushindi wa Sugu kwenye huo uenyekiti. Tutafanya kazi na Sugu kwa karibu sana kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…