Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Wanakomaa wapi wakati walinyoosha mikono juu ndo ikasainiwa Comprehensive Plan Of Action (JCPOA) Trump akaiita “Obama’s bad deal with Iran” na akaitoa Marekani kwenye mkataba na ndipo Iran wakaanza kubwabwaja wataacha kutekereza masharti ya mkataba kwa kuanza kurutubisha uranium kwa kiwango cha juu, lakin china, UK, France, Russia na ujerumani wakaonya asifanye huo upuuzi make wao bado wako kwenye mkataba na mkataba haujavunjika. Hii imemuweka Iran kwenye hali ngumu sana, sababu huku Kuna vikwazo vya US, upande mwingine anatakiwa atekereze mkataba akizingua vikwazo vya UN navyo vinarudi ambapo hata Russia na China watamkaanga kama walivyomkaanga North Korea kwenye UNSC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipo hapa kusema race gani na gani ipi bora zaidi, ubaguzi ni roho ya mtu, na sio kwamba wanaoua albino wasababishe woote tuonekane tunawaua albino mbele ya macho wa umoja wa mataifa, kwa sababu hizi habari zilifika kwenye mataifa mbali mbali na watu walishangaa sana, wanasikia Tanzania kuna watu wanaua albino, lakini wote hatupendi wanaofanya hivyo.

Mapadri wanaowaf*i*r*a watoto isiwe ndio tuchukie kanisa katoliki kwamba padri wote wana wa sodomy watoto,ni baadhi yao, mtu kasoma dini sijui shetani gani linamshika anamgeuza mtoto kinyume na maumbile tena mtoto, nakumbuka kanisa katoliki liliomba radhi kutokana na kesi mbali mbali duniani za watoto kulawitiwa.

Nilichosema ni wazungu ndio race iliyoua watu weusi wengi zaidi wakati wa utumwa na ndio ukweli.

Umesoma kuhusu Ku Klux Clan? Hawa ni watu weupe huko USA waliokuwa na chuki dhidi ya watu weusi, na waliwaua kweli kweli,

members walikuwepo serikalini pia, nao walishiriki unyanyasaji huo, kikundi hiki pia walitunia hadi mabomu kulipua wayu

weusi, hawa ni wazungu.

Kesi nyingi walizofanya polisi waliona its ok, hawakuwa hata na muda wa kufuatilia, naweza sema hiki kilikuwa ni kikundi cha ugaidi tena zaidi ya ugaidi, pia serikali iliwatambua kabisa, kuna vitabu vya online donload usome.

Serikali haikujali maisha ya watu weusi, kikundi hiki kiliua na hadi kuchoma moto watu weusi, we unaongea nini?

walikuwa wanapiga mabomu kwenye makanisa ya watu weusi na kuwaua, polisi walikuwa pia ni members wa siri wa kundi hilo.

Sasa nikushangae wewe unayemwona mzungu ana roho nzuri kuliko arabs au chinese, ukweli ni kwamba mzungu amekuandaa hivyo ili umuone yupo hivyo kuwa yeye ni mtakatifu kuliko mwingine pia yeye ni bora kuliko wewe kitu ambacho sio, kuna chinese wanatupenda, kuna whites wanatupenda na kuna arabs wanatupenda pia, na nikitazama akili zako naona wameweza kukubadili akili kabisa, mmeandaliwa hivyo tokana na filamu, elimu shuleni zinazoficha ukweli n.k, amkaa, roho mbaya ni mtu mwenyewe, tusiseme mwarabu,mchina,muhindi wala mkerewe. Nadhani tupo pamoja.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] Mbna Unapanic Dogo/Kubwa Hem Relax Kwanza WHO Wao Kama Nani Yaani WHO Wazijue Takwimu Za WAAJEMI Kuliko WAAJEMI Wenyewe [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]


Pole sana Kijana IRAN Ndio Taifa pekee Linalotoa Takwimu Zauhakika Nazakueleweka Kuhusiana Na CORONA.....

Sent using My COVID-19
 
North Korea Ipi Ilio Kaangwa Na CHINA na RUSSIA [emoji23][emoji23][emoji23] JCPOA Ilikua Nalengo Gani Na IRAN na US Wanalengo Gani US toka BUSH wanataka IRAN Aachane Na Kurutubisha URANIUM Aliwahi Kuacha Baada Ya Agreement Ya JCPOA [emoji23][emoji23]

IRAN Hatakaaa Aachane Na NYUKLIA Nahakuna Mpuuzi Atakaethubutu Kufanya Asiwe Na NYUKLIA Kuhusu Vikwazo Vikiwekwa Toka TRUMP Akiwa Bwana Mdogo Nampaka Sasa Bado Vinaekwa Vipya Ila Bado WAAJEMI Wapo Wanadunda Japowanakutana Nachangamoto Ndogo Ndogo

Sent using My COVID-19
 
Heheheheheheheheeee!!!! Bro Iran imeanza kuwekewa vikwazo 1979 chini ya raisi Carter, ile vita ya Iraq,1980 mpaka 88 Iran

ilikuwa chini ya vikwazo vikali vya USA. Soviet Union,Kuwait,Saudi Arabia na United States walkuwa allies wa Iraq na nchi

zingine za kiarabu za jirani, mwaka 1984 kati kati ya vita USA akaongeza vikwazo zaidi, mtu upo kwenye vita na mataifa

uchumi na silaha kama hivyo halafu unapigwa vikwazo tena, hio ni 2 in 1, hio 1984 USA aliweka vikwazo vya Iran kutonunua

silaha wakidhani wanaimaliza, weeeeeeeeeee!!!! mwanaume alipiga mkono mpaka 88 USA walishika kichwa, Iraq akaanza

kutumia kemikali za sumu kuua wananchi Iran, UN ikaingilia kati, vita ikaahirishwa hapo kuna kila hali Iran alikuwa kinara

kwa maana Iraq kuanza kutumia sumu ni kuzidiwa au kushindwa kusudio.

Iraq ya Saddam ambayo ilimjambisha myahudi ndio Iran alipambana nayo,

Russia kipindi hiko inamjambisha USA ikiwa ni Soviet Union ilikuwa upande wa Iraq.

USA pia alii support Iraq,

Saudia, Kuwait na majirani wote walimpa msaada Iraq but you know what? Iran haikumuomba USA imlegezee, au kujipendekeza, mwanaume alipiga mkono mpaka dakika za mwisho yaani 8 years!! Iran inaanza kupigwa mpaka sumu, iweje leo hii waje waiombe eti USA iwalegezee kisa mafua? heheheheheee!!!

USA anahangaika miaka yote, toka miaka hio ya 80 sijui kama ulikuwa umezaliwa Iran ilikuwa na vikwazo mpaka leo, USA alishataka kuimaliza Iran sio leo cha ajabu inapanda kila siku, wana missile za masafa wana silaha za kila aina, juzi hapa USA kazingua kapewa noma akatulia.

Iran sio unavyoichukulia, wale jamaa wapo smart hadi mzungu anajiuliza hii ni sample ya aina gani?

Ndio nashangaaga humu wanalinganisha Iran na Israel.
 
Utaratibu unaweza jumuisha mataifa yote kuwa na umiliki, au zisiwe silaha za nchi yoyote bali umoja wa watu wa duniani kama tahadhari tu ya viumbe kutoka sayari nyingine hata kama havipo kwa sasa.
 
JCPOA ilikuwa na lengo la Iran iachane na mpango wa kutengeneza siraha za nyuklia na akasaini JCPOA kukubali kuachana na huo mpango.
Unajitoa akili huijui North Korea?! [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa taarifa yako US alidraft vikwazo dhidi ya North Korea na kuvipeleka UNSC ambapo baraza zima la UNSC akiwemo China na Russia walivote kuviunga mkono hivyo vikwazo na vikapita, China na Russia wakaamua kumchinjia bahatini North Korea. Iran naye akijifanya tu kukiuka JCPOA mziki unakuwa UN sasa, Russia na China watamkaanga kwenye UNSC [emoji23][emoji23][emoji23]. Au hujui myahudi ni muhimu zaidi Moscow kuliko mashia na muajemi kwa ujumla[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na myahudi ndo hataki kabisa Iran awe na siraha za nyuklia hawa wakina US wanasaidia tu kufanikisha.
Linapofika suala la maslah ya myahudi Moscow inakuwa upande wa myahudi, linapokuja suala la biashara Beijing inakuwa upande wa US na linapokuja suala maslahi ya madhehebu nchi nyingi za kiislam wakiongozwa na saudia zinakuwa against Mashia. Na hapo Iran wanabidi tu wamuombe Allah wao wa mashia awasaidia make hana msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Naona umeandika tu historia hapa. Umenikumbusha jamaa yangu mmoja hivi baada ya kukutwa na VVU alianza kusema ukimwi ulikuwepo toka zaman watu wanaupata wakunywa dawa na wanadunda tu, akawa anasema hayo huku anakunywa ARV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwanza Nikukumbushe Tu IRAN Hajawahi Kua Namipango Walamikakati Yakutengeneza Silaha Zanyuklia Ijapokua Kama Akiamua Kutengeneza Uwezo Anao Maana Hakuna Wakumzuia Walawakumtisha Hapa Duniani Jengine Jiulize Yale Makaa Yamawe Yanayochimbwa Pale Korea Kaskazini Yanaongoza Kununuliwa Namataifa Gani Nagani Hapa Ulimwenguni[emoji23][emoji23][emoji23]

CHINA na RUSSIA Kwa Kiduku Sawa Na US na WAYAHUDI China Hajawahi Kua Nabifu Na PYONGYANG

Sent using My COVID-19
 

Hawezi kutengeneza na huo uwezo hana ila nia anayo, kwa akili yako vikwazo vya UN vinawekwa kwa bifu! Na nan kasema china wanabifu na North Korea?! Vikwazo vinapigwa kwa hoja na ndo maana China walipigia vikwazo dhidi ya ndugu zao Korea kaskazini. Na kama unajidanganya urusi na Korea Kuna urafaki au undugu hiyo imekula kwako kama inavyokula kwa ccm inavyojidanganyaga wachina ni ndugu zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzungu ndugu yake ni mzungu na lao ni moja, muarab kwa muarab, muafrika kwa muafrika, macho madogo kwa macho madogo, nk. Ingawa miafrika, miarab, mimacho madogo,nk haijitambui. Russia kwa Iran ni kwa maslahi tu ni kama ilivyo kwa US kwa saudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko hata Tanzania!!
 
Ungeweka mifano hai kuwa mradi wa maji mkoa fulani, wilaya fulani, kata fulani umejengwa na Iran ningekuelewa ila ulichokifanya nikuipamba kwa maneno matupu. Umefanya nicheke sana huyu huyu Iran ajenge miradi ya maji na afadhiri madawa halafu KAFIRI aje atumie? Sijapata kuona kitu kama hicho. Kama mradi wa maji atajenga kwenye misikiti ili waislamu wajitawaze, na kufadhili madawa kwenye hospitali za kiislamu.
Iran ajenge visima vya maji (mradi wa maji) na afadhiri madawa halafu kafiri aje atumie? Aiseee sijapata kuona kitu kama hicho
Irani imekujengea miradi ya maji mengi nchi yako na kukufadhili madawa, inawapa mafuta ya bure, pia inatoa scholarship za bure kwa nchi yako acha jeuri ww

Always trust yr self.
 
Nafikri haujaelewa nilichoandika ila kwa vile unafikiri waarabu wote ni waisalamu na mataifa ya kiirabu ni waislamu, vitu vyote vya waarabu ni vya waislamu ndiyo maana ulikuwa unataka muachiwe ikulu kwa kuwa ilijengwa na waarabu na ukiizungumzia Iran umewazungumzia waislamu weusi na weupe.
Ulichoakiandika unakijua wewe mwenyewe kinachozungumziwa ni Iran kuomba msaada kwa UN iondolewe vikwazo vilivyowekwa na Marekani
Waisalmu bana hata hawaeleweki walisema "Allah kawalaani China kwa kuwanyanyasa waislamu kwa kuwaletea corani kama fundisho ila leo hata nchi za waisalmu kama Iran kuna maambukizi ya Corona. Sijui Allah kasinzia haoni watu wake wakiangamia?"
 
Pole sana. Sasa hivi nchi hazipigani vita vile vya UFAHARI vya 1914 (vita vya kwanza) na 1945 (vita vya pili) vya kuoneshana una silaha kali. Ndiyo maana unafikiri Marekani kamshindwa kumpiga North Korea. Sasa hivi nchi zinapigana vita vya kiuchumi. Sasa hivi kinachotafutwa ni mafuta hata tukipoteza wanajeshi 1000 sawa ila tutahakikisha tunachukua mali za kutosha. Marekani ihangaike na North Korea kweli ambayo haina chochote? Tushapita kwenye Imperialism sasa hivi tuko kwenye stage nyingine. Wewe endelea kukariri hivyo hivyo. Sasa hivi nchi kama Marekani inaangalia wapi kwenye Mafuta tukachukue. Upigane vita halafu usipate chochote hata kama ningekuwa Trump nitakaa meza moja na Raisi wa North Korea tuyamalize.
WEWE TENGENEZA MISALAHA MIKALI HALAFU UCHUMI WAKO UNAPUMULIA MASHINE UTAWEKEWA VIKWAZO TU NA NCHI TAJIRI. INGEKUWA MWENYE LATEST TECHNOLOGY ANATAWALA DUNIA RUSSIA INGEKUWA INATAWALA ILA KWA VILE UCHUMI WAKE SIYO MKUBWA NDIYO MAANA UNAONA INAWEKEA VIKWAZO NA MAREKANI.
 
Nani alikudanganya kuwa Wairan ni Waarabu?

Huwa mnaandika kipoyoyo kweli kweli.

Unataka kumfundisha Muislam Waislam ni kina nani, wakati hata maana ya neno Uislam huijuwi. Majanga!

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
USA itakuvamia kwa interest au ukiwa threat kwao, bado tupo pale pale, kaa ukijua kwamba nchi yeyote ambayo ina resist order za USA huyo tayari ni threat kwao, ni threat kivipi?

USA anapovamia nchi yeyote ile yeye na masela zake ili kuiba mema ya nchi, nchi ambayo ni mlengwa inaweza kuomba msaada kwa hizi nchi kama North Korea na Iran n.k, hawa wakiweka resistance inakuwa mziki tena, hizi nchi ni tishio na zinampa mawazo sana, angalia Syria, Syria imewekewa kifua ndio maana USA, inajilamba kama simba aliyekosa windo.

Mfano ile vita inayoendelea Yemen, USA anazi support Saudia Arabia, UAE, Qatar, Senegal na Sudan kuivamia Yemeni halafu Houthis wanayoipigania Yemen wapo supported na Iran,North Korea na Hezbollah, lakini mpaka tunavyoongea hali ya allies wa USA ni mbaya, houthi wanachukua mji mkuu na eneo kubwa yemen, Yemen kuna mafuta ya kutosha, Sasa dont you see North Korea ilivyo hatari kwa USA? ilkiendelea hivi USA atakuwa anashindwa kuiba, pili hizi nchi zitatengeneza unit yenye nguvu.

Kwa hio usifikiri kisa North Korea hakuna mafuta ndio ujue sio threat, tena anakuwa ni threat mkubwa sana kwa USA.

Ambacho hujui ni kwamba hata North Korea ingekuwa inazalisha mafuta zaidi ya Saudia hakuna mtu au yeye na wenzake kusogea pale, mnadanganywa na movie za hollywood kwamba navy seals 6 wanapigana na askari 1000(nikucheke).

Iran ina mafuta ya kutosha, ille noma aliyoanzisha ya kumuua Suleiman, halafu akasema wakijibu wanarudisha mapigo kwa

nguvu, Iran ikajibu na kusababisha damage ya ubongo kwa askari waliokuwepo kambini, USA akaufyata, kwa nini wasinge

move? Kwa nini wasingeichakaza Iran chapu chapu hata kama askari 5000 wangeisha lakini wakaingia wakaanza kuchota mafuta?

USA ukiachilia mbali kuvamia mtu kwa interest binafsi, pia itakuvamia ukiwa una hatarisha maslahi yake au utakuwa threat kwao, North Korea ni threat kwa USA lakini hawana cha kufanya.
 
MATHEMATICALLY
US sanction started in 1979
2020 - 1979 = 41 Years

(People + HIV) / 41 Years = Death = People Dead (True) Because you wont survive for 41 years with HIV.



Iran = People
HIV = US Sanction

Iran + US Sunction = Death = Iran Dead (False) Because Iran is not Dead.

Hence , HIV /= US Sanction.

Kwa hio mfano wako ni mfu, huwezi ku survive kwa miaka 41 na ukimwi, ila Iran badala ya kudhoofika inakuwa imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…